Elections 2010 Brazil wenzetu washajua matokeo ya urais!

Kiranga

Platinum Member
Jan 29, 2009
70,942
104,554
Brazil wana population kubwa zaidi, na nchi kubwa zaidi na yenye challenges kubwa zaidi lakini washajua nani kashinda urais.

Sisi mpaka Jumatano at least.

In related news naona Bongoradio.com inaelemewa.
 
we are not brazil

That is my point, we have a smaller nation, with fewer people, and no Amazon, but still it will take a week or so to finalize a count which takes Brazil a much shorter time.

You are damn right we are not Brazil, the very reason we should be able to complete it faster than them. Brazil has a population that is about 5 times ours, and an area about 9 times ours, and they started later than us because we are far to the east of them, with a head start of 5 hours, of course we are not Brazil, we should be able to finish the count much faster than them.

This type of complacency of resigning by saying "we are not Brazil" is what gives us bad leadership, and then we come here to complain.

Brazil
Area 8,514,877 sq km
Population 198,739,269

Tanzania
Area 947,300 sq km
Population 41,048,532

Election same day, tena sisi tumewawahi kwa masaa kadhaa, lakini wao tayari washahesabu over 95% ya kura zao.

Huoni aibu kukubali mediocrity hii? Hizi habari za kuchukua siku tatu kuhesabu kura si ndiyo zinaanzisha mianya ya kuchakachua hapo ?
 
That is my point, we have a smaller nation, with fewer people, and no Amazon, but still it will take a week or so to finalize a count which takes Brazil a much shorter time.

You are damn right we are not Brazil, the very reason we should be able to complete it faster than them.

This type of complacency of resigning by saying "we are not Brazil" is what gives us bad leadership, and then we come here to complain.
mkuu, we created this mess... our mode is like cruise control, not drive no drivers...

Its sad, as we speak hata kura za kisarawe zinashindwa kuwakilishwa

but my main point there is that, we are not brasil, they took a risk and made radical changes some years back, but we are still taking a piss
 
Na ndio maana itatuchukua miaka elfu moja kendelea? maendeleo ya china yanatokana na kuiga mambo mazuri nji nyingine, ni vema tuakendelea kuweka pamba masikioni
mkuu, ndio shida zetu, huwezi amini hatujalala mpaka usiku wa manane, halafu mtu anakuja na assumtion na kupost kama results au mtu anakataa reality, tena na matusi juu

we are not serious, to say the least
 
Ngoja Slaa (PhD) aingie madarakani uone,

Tanzania itakua kama peponi, tatakua tunajilinganisha na USA (matokeo yatakua yanapatikana baada ya 30 MIN) sio hao akina Brazil. Kuchelewesha matokeo ni delay tactics za CCM ili waweze kuchakachua kura na matokeo yenyewe
. :yield:
 
mkuu, ndio shida zetu, huwezi amini hatujalala mpaka usiku wa manane, halafu mtu anakuja na assumtion na kupost kama results au mtu anakataa reality, tena na matusi juu

we are not serious, to say the least

So far mtu ambaye hayupo serious hapa ni wewe.

Hatua ya kwanza katika kutatua tatizo ni kulikubali kama tatizo na kisha hapo ndipo unaweza kutafuta ufumbuzi, mimi nimeona hii ni challenge kwa sababu nchi kubwa zaidi yetu kwa mara 9, yenye watu wengi zaidi ya wetu kwa mara tano, tena yenye msitu mkubwa sana wa Amazon pamoja na mto wenyewe, kama hayo hayatoshi, wao wako nyuma yetu kwa masaa 5, tumepiga kura siku moja, lakini wao wameshamaliza kuhesabu kura na wamemtangaza rais mpya.

Tukitoa challenge watu wanasema "sisi sio Brazil". Dizaini hizi ndizo miaka ya nyuma zilisema "sisi sio wazungu hatuna haja ya kusoma"

Usiseme "sisi sio Brazil" katika hili, utaonekana uko katika denial na hutaki genuine challenge.
 
Mazee wa Galaxy...............umesikia habari za dada yako kule Kilombero.....very interesting!
 
Na ndio maana itatuchukua miaka elfu moja kendelea? maendeleo ya china yanatokana na kuiga mambo mazuri nji nyingine, ni vema tuakendelea kuweka pamba masikioni

point to be noted! alafu sisi wabongo tunaendelea kuwa criticize wachina kwamba fake, wachina sijui wapo hivi... :doh: wabogo bana tumebaki kuiga utamaduni wa nchi zilizoendelea badala ya issue za maendeleo
 
Mazee wa Galaxy...............umesikia habari za dada yako kule Kilombero.....very interesting!

Wamempitisha? Mi hata wakimpitisha sishangai, kwa sababu hamna alternative, sasa unapewa boga la CHADEMA na boga la CCM, unasema bora hata nijaribu boga la CHADEMA nione linaweza kuleta kipya maana hawa CCM washalala sana.

Itabidi Mwanakijiji na wadau wengine wamshike mkono kweli kweli.

Bora uchaguzi ungekuwa kama Pulitzer Prize, siku wakiletwa wagombea wabovu wote wananchi mnawakataa wote, uchaguzi urudiwe mpaka tupate mbunge anayeelewa mambo.

We mgombea anakwambia hajui vifungu basic kabisa vya katiba, anakwenda bungeni kufanya nini ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom