Brazil: Watu 176 wafariki kutokana na mafuriko

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
Idadi ya waliofariki kutokana na mvua kubwa iliyonyesha Petropolis, Rio De Janeiro nchini Brazil imefikia 176 ikiwa ni idadi kubwa kurekodiwa katika historia ya mji huo. Mvua kubwa nyingine kurekodiwa ilikuwa 1988 iliua watu 171.

Mvua hiyo iliyonyesha Februari 15 iliwafunika watu wengi kwenye matope na timu ya uokoaji ilianza kuopoa miili usiku na mchana lakini hadi sasa watu 110 hawajulikani walipo.

Kiwango cha mvua kilichonyesha ndani ya siku moja kilikuwa ni sawa na cha mwezi mzima, kimeharibu nyumba, magari na mitaa

=====

The death toll from last week's mudslides and floods in the Brazilian city of Petropolis reached 176 as of Monday, Rio de Janeiro's state civil defense said, with more than 110 people still missing.

Downpours in the colonial-era city exceeded the average for the entire month of February last Tuesday alone, causing mudslides that flooded streets, destroyed houses, washed away cars and buses, and left gashes hundreds of yards wide on the region's mountainsides.

Residents described the agony of waiting for news on their missing friends and relatives.

"I've been living here for 16 years. I lost my 83-year old mom, a 11-year old nephew and a 13-year old niece who is still buried under the debris. I'm living a nightmare, and I have nowhere to go," said local resident Iva Machado, 62.

Responding to the disaster, several Brazilian states sent reinforcements to help searching for missing people and cleaning up the debris alongside Rio's fire department.

Tuesday's rainfall was the heaviest registered since 1932 in Petropolis, a tourist destination in the hills of Rio de Janeiro state, popularly known as the "Imperial City" as it was the summer getaway of Brazilian royalty in the 19th century.

According to Brazil's National Meteorology Institute, weather forecasts for Petropolis are for a cloudy Monday with isolated showers, which could hamper rescue efforts.

Since December, heavy rains have triggered deadly floods and landslides across much of Brazil, while threatening to delay harvests and briefly forcing the suspension of mining operations in the state of Minas Gerais, just north of Rio.
 
"Kiwango cha mvua iliyonyesha ndani ya siku moja ni sawa na mvua ya mwezi mzima"

Hilo kweli ni balaa.
 
inakuaje unakufa kutokana na mafuriko. Ukiona maji yananza kujaa si una move taratibu from point A to point B.
 
inakuaje unakufa kutokana na mafuriko. Ukiona maji yananza kujaa si una move taratibu from point A to point B.
Unakuwa na underestimations za ukubwa wa mvua, hujui itakata lini, kabla haujatoka ndani barabara zishajaa maji kwanza hivyo hazipitiki kwahiyo unakaa ndani mpaka nyumba iporomoke au ijae.

Unaishi Dar hapa, hukuwahi ona mvua zinanyesha watu wanaingia barabarani maana wanaokuwa njiani ndio more riskier kukumbwa na mafuriko kwa jinsi wanavyopita kwenye madimbwi na madaraja. Wanaokuwa mabondeni uko hutoka ndani wasielee ila nje nako maji hujaa, mwishowe wakijibanza kwenye kamuinuko au kinyumba fulani nacho kinafunikwa au kubomoka. Wakati unafikiri kuhama mji ambao mvua inanyesha tiyari madaraja yashabomoka na ushachelewa
 
Back
Top Bottom