Brazil: Rais Jair Bolsonaro aishukia WHO, adai linaendeshwa kisiasa, atishia kuiondolea Brazil uanachama

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Rais Jair Bolsonaro ametishia kuitoa nchi hiyo kwenye uanachama wa Shirika la Afya (WHO) baada ya Shirika hilo kuionya kuhusu kulegeza masharti kabla ya kudhibiti maambukizi ya #CoronaVirus

Kauli yake inakuja baada ya Msemaji wa Shirika hilo Margaret Harris kusema hali ya mlipuko wa #COVID19 Amerika Kusini inatia wasiwasi

Rais Bolsonaro amelituhumu Shirika hilo kuendeshwa kisiasa akisema anafikiria kuiondoa Brazil WHO isopoacha kufanya kazi bila upendeleo wa kiitikadi

Brazil imerekodi visa 646,006 na vifo 35,047, wagonjwa 302,084 wamepona

====

President Jair Bolsonaro threatened to pull Brazil out of the WHO after the United Nations agency warned governments about the risk of lifting lockdowns before slowing the spread of the novel coronavirus.

Speaking to journalists, Bolsonaro accused the WHO of being "partisan" and "political". He said Brazil will consider leaving the body unless it ceased to work "without ideological bias".

Earlier on Friday, when asked about efforts to loosen social-distancing orders in Brazil despite rising daily death rates and diagnoses, a WHO spokeswoman said a key criteria for lifting lockdowns was slowing transmission.

"The epidemic, the outbreak, in Latin America is deeply, deeply concerning," Margaret Harris told a news conference in Geneva. She said that among six key criteria for easing quarantines, "one of them is ideally having your transmission declining."

Source: Al Jazeera
 
Kwani Brazil inatoa pesa nyingi kwa WHO kama Marekani?

Kama haichangii chochote basi ajitoe tu.
 
Brazil kama Tz tu. Walipewa onyo wakajiona kama wafrica et sisi huku hakuna baridi hatuwezi kusumbuliwa na corona. Wakakataa kuvhukua hatua. Corona imewapiga mapaka wamenyanyua mikono na WHO imekataa kuwapa msaada wowote.
 
Back
Top Bottom