BRAZIL:Rafiki wa Rais akamatwa na polisi kwa video iliyomuonyesha akiwa na begi la pesa $154k

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,164
2,000
Rodrigo Rocha Loures rafiki wa KARIBU SANA NA Rais Temer alirekodiwa kwa siri video akiwa na begi ambayo video hiyo inaonyesha ni $154Mil zaidi ya Bil300 za kitanzania na sasa yuko nguvuni.
Sasa zinachunguzwa hizo pesa zilikuwa zinaenda wapi na kwa wakina nani...

Pia Kuna audio aliyorekodiwa kwa siri Rais wa nchi hiyo akionyesha kumnyamazisha shahidi wa kesi ya rushwa kwa viongozi japo rais huyo amekana na kusema kuna watu waliichakachua ila yeye alikuwa hamaanishi hayo. Kwa sasa bado anachunguzwa.

Mmiliki wa J&F's kampuni linalomiliki kampuni nyingine iitwayo JBS yenye kashfa ya kuhonga viongozi, amekiri kuwa ili kufanikisha mambo yao Walitumia $184Mil zaidi ya Bil400 za kitanzania
kuwahonga wanasiasa zaidi ya 1900 kwa miaka kadhaa...

Source

Brazilian police have arrested Rodrigo Rocha Loures, a former congressman and close friend of President Michel Temer.

Mr Rocha Loures was seen in a video released in May carrying a bag with 500,000 Brazilian reais ($154,000).

Prosecutors allege he was handling a bribe from a businessman who had been recorded discussing hush money with President Temer.

His arrest comes as part of a probe into alleged payments to politicians by the meat-packing company JBS.

President Temer has repeatedly denied any involvement in the bribery scandal, which threatens to engulf his administration. He said Mr Rocha Loures could be the victim of a trap.

The owners of J&F's, the controlling shareholder of JBS, said under a plea bargain that they spent 600m reais ($184 m) to bribe nearly 1,900 politicians over a number of years.

One of them, Joesley Batista, also gave prosecutors an audio tape, leaked to the media, in which Mr Temer appears to condone bribing a witness.

The audio came from a conversation between the president and Joesley, and was recorded using a hidden device.

In it, Mr Temer appears to discuss paying for the silence of politician Eduardo Cunha, who is currently in prison.

Mr Temer has said the recording is genuine but may have been tampered with. He says it was taken from a meeting in March and he denies any wrongdoing.

"I never authorised any payments for someone to be silent," he said in a televised address. "I did not buy anyone's silence. I fear no accusations."

Mr Temer has resisted calls to step down over the scandal.

The country's Supreme Court has approved an investigation into the allegations against the president.

Mr Rocha Loures could seek a plea bargain and reveal who the money was intended for, BBC Brasil correspondent, Julia Carneiro, says.

But that could damage the president's assertion that he did nothing illegal, she adds.

BBC
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom