Bravoo kikwete

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Asante kikwete kwa kutukumbuka mana sisi tunaonekana wachache
Asante kwa kutuunganisha na kutuweka katika mamlaka ya juu


Sheni
Seif
Mohammed Gharib Bilal,
Shamsi Vuai Nahodha
Zakia Meghji
Makame Mnyaa Mbarawa

Najua LIst itaongezaka kadri ya uteuzi wako
 
Kila wakati una hisia za udini. Cha moto kinakuja tutawachia uswahili wenu na shida zenu
 
kikwete hana udini hayo maneno yako asnte kwa kunikumbusha nimeupdate
11_10_1a14e6.jpg
 
Back
Top Bottom