Elections 2010 Bravo TAKUKURU!

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Wapinzani walisema ccm ni chama cha mafisadi watu wapenda RUSHWA
lakini mpaka sasa hakuna mgombea yoyte amekamatwa akitoa rushwa

bravoo takukuru bravooo jk bravoo ccm
 
Wapinzani walisema ccm ni chama cha mafisadi watu wapenda RUSHWA
lakini mpaka sasa hakuna mgombea yoyte amekamatwa akitoa rushwa

bravoo takukuru bravooo jk bravoo ccm
Kilichowatokea TAKUKURU waliojifanya wachapakazi hodari kwenye kura za maoni za CCM hatukijui? Nani atathubutu kuwagusa mafisadi? Kwenye kura za maoni ulikuwa ni mkakati wa ndani wa kuwashughulikia baadhi ya wagombea wa CCM. Sasa hivi wanashindana na maadui zao TAKUKURU haina kazi kwao. Wa kusifiwa ni wapinzani maana hakuna hata nnoja aliyeguswa na uozo huo. Ni jadi na utamaduni wa CCM.
 
Asante kwa ujumbe, lakini mficha uchi ...................... mficha ugonjwa ...........................
 
Wapinzani walisema ccm ni chama cha mafisadi watu wapenda RUSHWA
lakini mpaka sasa hakuna mgombea yoyte amekamatwa akitoa rushwa

bravoo takukuru bravooo jk bravoo ccm

Sorry Mpwa, ila watu wengine bwana mnakera sana, mnatia kichefuchefu sana
 
Ndio fikra za watz hizi,wa kudanganywa kama mazuzu.Inaonyesha pia utashi wa wanaipongeza takukuru na mafisadi.
 
Back
Top Bottom