Bravo Kikwete: UN Chief Lauds Tanzania

Apr 27, 2006
26,588
10,374
. FROM ASSAH MWAMBENE, in NEW YORK

UN Secretary General Ban Ki-Moon lauded Tanzania on Friday for making significant headway in increasing primary school enrolment aand raising agriculture productivity. Tanzania was one of four African countries the UN boss spotlighted in a 70-page report delivered last week to the ongoing marathon session of the General Assembly.

"....I am particularly impressed by the achievements of Tanzania, and other African states for launching a 'Green Revolution' and raising agricultural productivity..." the UN boss wrote. He also praised Ghana, Uganda, and Kenya for their progress in the same areas.

In the same report, the UN boss pointed out Tanzania and its President Kikwete, as an African country, whose Millenium Villages initiatives has shown that community leadership and integrated strategies to operationalise Millenium Goals has produced dramatic results to its people. Some of Tanzania's Millenium Villages are located in Mbola, Uyui District in Tabora region and Micheweni Distict in Pemba Northern Region in Zanzibar
.
 
Ha! Green revolution in Tanzania, where in Tanzania? Does this man know what he is talkin' about. Hapa nyumbani hakuna kitu kama hicho, labda sioni yanayoendelea! This is guy is a Pal of JK, he will speak anything n favor of his pal.
 
Hizi ni habari njema zaidi kwa taifa letu, tunaelewa kuwa bado tuna mengi ya kujifunza toka tuachane na siasa za ujamaa na kujitegemea, yaani siasa za ki-communist ambazo tuliishi nazo kwa zaidi ya miaka 25 toka tupate uhuru, siasa ambazo zimeshindwa katika kila kona ya dunia zilikojaribiwa, na kuna nchi kama Rumania na Bulgaria, ambako waliohusika na kuzi-implement waliishia kupigwa risasi mbele ya wananchi,

sisi wa-Tanzania tumekuwa very smart kwa kutotumia siasa za revenge na kunyooosheana vidole, badala yake tuliamua kubadili tu muelekeo wetu na kusonga mbele, pole pole juhudi zetu zinnaanza kuonekana mbele za wakubwa wa dunia, huko Mbeya ndio kwanza uwanja wa ndege mpya wa Songwe International Airport utakaokuwa na Kilomita 3.5 za Runaway, utakaogharimu Dola za ki-Marekani $ 12.6 Million US Dollars, unatarajiwa kuanza katika kipindi cha miezi miwili ijayo. Inategemewa ndege ya kwanza ya ya kimataifa itatua katika uwanja huo kuanzia mwakani.

Uwanja huo unatgemewa kuongeza kukuza uchumi wa Mikoa ya kusini na pia kushiriki katika soko la kimataifa la utalii Kusini mwa Afrika, kwa hiyo ndugu zangu tunajikongoja pole pole na pamoja na matatizo yote tuliyonayo ya kuwa na baadhi ya viongozi wabadhirifu, bado hutajakata tamaaa,

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Ha! Green revolution in Tanzania, where in Tanzania? Does this man know what he is talkin' about..

Mkuu Bongolander,

Heshima mbele, naona kwenye hiyo article imeandikwa wazi kuwa vijiji hivyo ambavyo tayari viko katika Mikoa ya Tabora na Pemba, I mean ninakuaminia siku zote kwa kuwa na kichwa makini sana kwenye kukata ishu,

Sasa kwa sababu wewe hujafika huko kijiji cha Mbola, Uyui Tabora, na Micheweni North Pemba, ambako vijiji hivyo vilivyosifiwa na Mkuu Wa Umoja wa Mataifa vipo, haina maana kwamba havipo ila tu hujawahi kufika huko ambako ni part ya taifa lako mwenyewe kujionea kwa macho yako mwenyewe,

Ina maana tu kuwa Mkuu huyo wa UN, amekuwahi in your own game, sasa tafakari na uwe objective, badala ya kuwa kama mtu wa Texas kwamba Ngombe yoyote duniani ni lazima awe anatoka wa Texas, Mkuu wa UN hawezi danganya wazungu huko majuu maana wao hudai kwenda kujionea wenyewe badala ya kushambulia tuu hata kwenye ukweli,

halafu kumbuka wananchi wengi wanasoma hapa forum kupata kama haya ambayo hawawezi kuyapata kwenye media yetu.

Ahsante Mkuu.
 
November 8, 2007: Africa is rapidly becoming a focal point for multinational crop and chemical corporations clearing the way for the extended uptake of their products and technologies. In particular, African governments are facing enormous pressure to endorse and adopt genetically modified (GM) crops.

Organisations like the Alliance for the Green Revolution in Africa — bank rolled by the Gates and Rockefeller Foundations — are partly to blame through their heavy investment in infrastructure aimed at supporting the development and distribution of GM crops and seeds.

But the African Union (AU) itself is now also encouraging the adoption of GM technology. Working in tandem with its development wing, the New Partnership for African Development (NEPAD), the AU’s High Level Panel on Modern Biotechnology is soon to release a Freedom to Innovate plan — the clearest expression yet of the trend to back this controversial and risky technology.

And it does so uncritically, rather than taking a more rational precautionary position that would safeguard Africa’s rich biodiversity and agriculture.
The AU is also engaged in efforts to revise the carefully crafted African Model Law on Biosafety, which outlines the biosafety provisions necessary for African environmental conditions.

The revisions emanate from those seeking to make the biosafety content less stringent, placing Africa under even more pressure to conform to the needs of the gene corporations.

Support for GM technology, though, is by no means universal across the continent.

The AU’s efforts in shaping the Freedom to Innovate plan and model law contrast with the leadership role that the Africa Group took in developing the Cartagena Protocol to ensure more stringent biosafety precautions.

Indeed, a number of African governments and civil society organisations are increasingly speaking out against the pressures from gene companies — and the foundations that back them — to adopt their technologies.

For example Angola, Sudan and Zambia have resisted pressure to accept GM food aid, while non governmental groups such as the African Biodiversity Network, based in Addis Ababa, Ethiopia, defend community and farmers’ rights to reject GM seed. At one stage Burkina Faso implemented a moratorium on the planting of GM crops.

The Freedom to Innovate document does little justice to the debate raging around Africa.

Instead it seeks to institutionalise the pro-GM position of larger countries like Nigeria and South Africa for the entire continent.

There is no question that Africa needs technology to develop. But it must be appropriate to a country’s chosen path of development.

New technologies aimed at development must be evaluated in depth by, among others, scientists with no vested interests.

Natural scientists must assess GM technology’s likely impacts on both the environment and human and animal health.

Social scientists must also examine the potential socio-economic consequences of such innovation — such as impacts on local food security, trade or indebtedness.

Stake holders, including those who safeguard traditional knowledge, could further enrich such assessment by indicating proven alternatives.
This model of technological assessment could serve Africa very well. It could enable governments to formulate appropriate policies and development priorities.

Most importantly, if a technology is found to be questionable or negative in terms of its impacts — or if there are no clear development benefits to be derived from its adoption — a precautionary mechanism must exist that can delay and carefully regulate its introduction.

The Freedom to Innovate plan tries to advocate the idea that all biotechnology benefits Africa and fails to analyse the risks attached to their adoption.

While some aspects of modern biotechnology might prove useful in African agriculture, this does not mean that one aspect of this — GM crops — can increase continental food security and farmer prosperity.

GM technology forces Africa into high-input, chemical-dependent agriculture which impacts on biodiversity and creates debt burdens for small farmers.
In addition, the regulatory steps required for control of GM crops are so demanding of resources that, even when other budgetary areas relating to food security may need more pressing attention, Africa is forced to prioritise their set up.

Gene corporations, together with the scientists that work for them, have invested a lot of time, effort and money in developing GM crops.

Not surprisingly, they are the ones who propound the idea that transgenic crops can rescue Africa from poverty and underdevelopment.

But Africa must not let itself be bullied into accepting a technology that has yet to prove itself as appropriate for solving the continent’s hunger problems.

The AU’s role should be one of providing governments with well-reasoned technological evaluation, rather than acting as a proxy for promoting a specific industry’s commercial needs.

Fig is an independent environmental policy analyst based in Johannesburg, and a trustee of Biowatch South Africa
 
. FROM ASSAH MWAMBENE, in NEW YORK

UN Secretary General Ban Ki-Moon lauded Tanzania on Friday for making significant headway in increasing primary school enrolment aand raising agriculture productivity. Tanzania was one of four African countries the UN boss spotlighted in a 70-page report delivered last week to the ongoing marathon session of the General Assembly.

"....I am particularly impressed by the achievements of Tanzania, and other African states for launching a 'Green Revolution' and raising agricultural productivity..." the UN boss wrote. He also praised Ghana, Uganda, and Kenya for their progress in the same areas.

In the same report, the UN boss pointed out Tanzania and its President Kikwete, as an African country, whose Millenium Villages initiatives has shown that community leadership and integrated strategies to operationalise Millenium Goals has produced dramatic results to its people. Some of Tanzania's Millenium Villages are located in Mbola, Uyui District in Tabora region and Micheweni Distict in Pemba Northern Region in Zanzibar
.
nami nawapongeza ila naomba waongeze spidi kwani hatutaki maendeleo yanayotembea mwendo wa jongoo wakati taifa ni tajiri kwa rasilimali na wachapakazi.mungu atatusaidia.
 
Mkuu Bongolander,

Heshima mbele, naona kwenye hiyo article imeandikwa wazi kuwa vijiji hivyo ambavyo tayari viko katika Mikoa ya Tabora na Pemba, I mean ninakuaminia siku zote kwa kuwa na kichwa makini sana kwenye kukata ishu,

Sasa kwa sababu wewe hujafika huko kijiji cha Mbola, Uyui Tabora, na Micheweni North Pemba, ambako vijiji hivyo vilivyosifiwa na Mkuu Wa Umoja wa Mataifa vipo, haina maana kwamba havipo ila tu hujawahi kufika huko ambako ni part ya taifa lako mwenyewe kujionea kwa macho yako mwenyewe,

Ina maana tu kuwa Mkuu huyo wa UN, amekuwahi in your own game, sasa tafakari na uwe objective, badala ya kuwa kama mtu wa Texas kwamba Ngombe yoyote duniani ni lazima awe anatoka wa Texas, Mkuu wa UN hawezi danganya wazungu huko majuu maana wao hudai kwenda kujionea wenyewe badala ya kushambulia tuu hata kwenye ukweli,

halafu kumbuka wananchi wengi wanasoma hapa forum kupata kama haya ambayo hawawezi kuyapata kwenye media yetu.

Ahsante Mkuu.
Hivi Tanzania ina vijiji vingapi? Inakuwaje maendeleo yake yapimwe na Pilot Study ya Vijiji Vitatu tu?Hivyo vijiji vitatu ni asilimia ngapi ya vijiji vyote vya Tanzania na Vyenye angalau na vigezo vyote vilivyotumika ktk kuunda vijiji hivyo vitatu ktk mpango mzima wa kuvipatia maendeleo hayo yanayosifiwa na huyo Mh. wa Majuu kwa maendeleo?

Nafikiri tufike wakati tujisifie wenyewe kwa kujiridhisha na hali ya ubora wa maisha yetu Kama Watanzania na Viongozi wetu ifike wakati wasifiwe na wananchi wao kwa kuwaongoza vyema hadi kufikia Maisha Bora kwa Wote hasa kufanikisha mapambano dhidi ya Adui Ujinga, Maradhi , Njaa NK.

Je ni wangapi kati yetu watanzania tunaweza kujiridhisha kwamba tumepiga hatua za kimaendeleo kwenye hizo nyanja zilizotajwa na Mh. wa Chombo hicho Muhimu Duniani na kuwafikia kila mwananchi angalau kimatendo au hata kwa kuhisi maendeleo hayo kitaifa kutoka ngazi ya kaya hadi Taifa.
 
Yale Yaleeee!!! nabii hakubaliki kwao. Unajua tutamaliza waswahili wote kutuongoza, kisha tutasema bora mkoloni!!!!

Hizi ni dalili za athari ya utumwa wa kifikra!!!!!
 
Hivi Tanzania ina vijiji vingapi? Inakuwaje maendeleo yake yapimwe na Pilot Study ya Vijiji Vitatu tu?Hivyo vijiji vitatu ni asilimia ngapi ya vijiji vyote vya Tanzania na Vyenye angalau na vigezo vyote vilivyotumika ktk kuunda vijiji hivyo vitatu ktk mpango mzima wa kuvipatia maendeleo hayo yanayosifiwa na huyo Mh. wa Majuu kwa maendeleo?
Nafikiri tufike wakati tujisifie wenyewe kwa kujiridhisha na hali ya ubora wa maisha yetu Kama Watanzania na Viongozi wetu ifike wakati wasifiwe na wananchi wao kwa kuwaongoza vyema hadi kufikia Maisha Bora kwa Wote hasa kufanikisha mapambano dhidi ya Adui Ujinga,Maradhi ,Njaa NK.
Je ni wangapi kati yetu watanzania tunaweza kujiridhisha kwamba tumepiga hatua za kimaendeleo kwenye hizo nyanja zilizotajwa na Mh. wa Chombo hicho Muhimu Duniani na kuwafikia kila mwananchi angalau kimatendo au hata kwa kuhisi maendeleo hayo kitaifa kutoka ngazi ya kaya hadi Taifa.

Sure mzee,
Watu tunaharaka sana kwenye kusifia! Unasifia majaribio?
Kama hayo majaribio yameenda vizuri implementation yake rasmi imefanyika sehemu gani?

Kama viongozi wetu wanatudanganya kila siku, watashindwa kuwadanganya hao waheshimiwa wa UN? Na ndo malengo ya safari zisizoisha za huko!!!

Eti kuna maendeleo katika nyanja ya kilimo, si utani huo!
Uliza huko mtwara, Kahawa, nk maendeleo yako kwenye mazao gani?
Wawe specific, hatutaki sifa za kijinga siye!
 
punda aitwe punda na sokwe aitwe sokwe. kama wamefanya jema wasifiwe hata kama ni kukihudumia nusu kijiji.pengine kuwasifu kwetu kwa hilo dogo kutawapa munkari wa kufanya kubwa. kazi na dawa. tuwape pressure at the same time wakifanya mazuri tuwasifu na huo ndio uungwana.waarabu wana msemo wanasema "asieshukuru kichache hatoshukuru hata akipata kingi"
 
. FROM ASSAH MWAMBENE, in NEW YORK

UN Secretary General Ban Ki-Moon lauded Tanzania on Friday for making significant headway in increasing primary school enrolment aand raising agriculture productivity. Tanzania was one of four African countries the UN boss spotlighted in a 70-page report delivered last week to the ongoing marathon session of the General Assembly.

"....I am particularly impressed by the achievements of Tanzania, and other African states for launching a 'Green Revolution' and raising agricultural productivity..." the UN boss wrote. He also praised Ghana, Uganda, and Kenya for their progress in the same areas.

In the same report, the UN boss pointed out Tanzania and its President Kikwete, as an African country, whose Millenium Villages initiatives has shown that community leadership and integrated strategies to operationalise Millenium Goals has produced dramatic results to its people. Some of Tanzania's Millenium Villages are located in Mbola, Uyui District in Tabora region and Micheweni Distict in Pemba Northern Region in Zanzibar
.

KIKWETE haki yako nakupa mheshimiwa, hongera kwa hayo !

endelea hivyo hivyo ! usipunguze moto !
 
Bandugu

hata kama ni Pilot project, kama imefanikiwa basi na tuwape pongezi ili waongeze nguvu ktk mradi mzima, kuna pilot project nyingi tu huwa zinafeli ku-achieve yaliyokusudiwa, basi kama wameanza vizuri tuwape pongezi na tutakiane kila al kheri ili kila mtu awajibike ili kuhakikisha the entire project inaleta matunda mazuri.

NOTE: project implementation Unit/team inabidi iwe na watu makini ili kuhakikisha successfully completion ya program
 
Kutosifia mazuri na kupindisha kila zuri kuwa baya ndiko kunako momonyoa credibility na utashi wa JF.

Watu waliowengi wanaochangia hapa wana akiri za kutosha na wengine ni watu waliobobea ktk taaluma mbalimbali hivyo ukileta maneno yenye mshikeli wana uwezo wa kuyachungulia na kupima unataka kusema nini?

Hata na KIMU akisema kitu wana uwezo wa kuona na kung'amua anasema nini.

Hata na JK akisema jambo wana uwezo na kujua alikuwa anataka kuongea nini.

Na pia wana uwezo wa kujua kama ni pumba au mchele.
 
Ogah said:
Bandugu

hata kama ni Pilot project...........kama imefanikiwa basi na tuwape pongezi ili waongeze nguvu ktk mradi mzima.........kuna pilot project nyingi tu huwa zinafeli ku-achieve yaliyokusudiwa.............basi kama wameanza vizuri tuwape pongezi na tutakiane kila al kheri ili kila mtu awajibike ili kuhakikisha the entire project inaleta matunda mazuri.

NOTE: project implementation Unit/team inabidi iwe na watu makini ili kuhakikisha successfully completion ya program

Mkuu Ogah,

Heshima mbele, una-make a lot of sense!
 
Field Marshall Es,
Mzee wangu hapa tunapotea na kutokomezwa zaidi ktk yale yanayokusudiwa na hawa watu.

Kwa taarifa yako mkuu wangu hawa jamaa nia yao kubwa ni kuhakikisha mazao yetu asili yanapotea kabisa hapa duniani kiasi kwamba tutawategemea wao hadi kula kwetu. Itafikia wakati ukitaka mbegu za kila mmea ni lazima tuagize kwao. Kisha mimea hii ni lazima itumie mbolea yao, mbolea ambayo leo hii ktk mazao ya kawaida tu wananchi wanashindwa ku - afford. Tanzania miaka yote ina misitu, mbuga na pori kubwa kuliko ukubwa wa miji tunayoishi, Mimea yetu huota kwa uwezo wake Mungu zaidi ya technologia na hakika ukataji wa miti hii kutokana na kupanua makazi yetu sisi wenyewe ndio sababu kubwa tunapoteza misitu yetu.

Field Marshall umezungumza mengi sana kuhusu Ujamaa lakini umeshindwa kuelewa kwamba Ujamaa huo huo ulikuwa ni ktk mfumo wa maisha yetu. Yalikuwepo mabaya lakini yote hayo yalitokana na Uamuzi mbaya kama unavyotaka kusifia hili. Meaning huu ni uamuzi mbaya mwingine sawa na ule wa Ujamaa lakini upande wa pili wa sarafu hii ya Utandawazi.

Hata Nyerere alisifiwa pia na baadhi ya nchi za Mashariki na na Hata Nordic, tena alipewa pongezi nyingi sana toka Umoja wa mataifa ktk maazimio mengi aliyowahi kuyafanya na hasa hilo la Elimu ya msingi. Lakini ilikuwa nini hatma ya wingi huo? - Kwa hiyo, tutampa pongezi kwa sababu zetu sisi wenyewe na sio kwa sababu kasema mtu wa UN na wala haiwezi kuwa pongezi hadi hapo atakapo weza kuepuka makosa alofanya Nyerere ktk Elimu yetu, nadhani sina haja ya kukwambia kuwa ni asilimia ndogo sana ya wanafunzi wanahitimu elimu ya juu kwa miaka yote 40.

Swala la miti nadhani hujajiuliza hii miti inayozungumziwa ni miti gani? nini faida yake kwetu na ipi hasara yake kwetu!.. Kwanza miti hii haina asili ya hapa ni majuzi tu serikali imetoa wito wa kupanda miti yetu ya asili tena basi baada ya sisi kupiga kelele sana mwaka jana. nakumbuka pia kuwa Shein na Mwakyosa walipinga kabisa mpango wa mbegu za GM product nchini na kusema hatujafikia kuwa na njaa ya kukubali majaribio haya.

Mzee wangu hawa jamaa wanatufanya sisi kuwa ni Guinea Pigs na unaposifia kutumiwa kama Panya ktk maabara za afya nadhani sisi wenyewe tunakubali kuuvua Ubinadamu wetu...

Ebu fikiria, rudi nyuma miaka ya Nyerere - Aghlab tulikuwa tukisikia watu wakifa kwa magonjwa kama Cancer na wazazi wanawake wakifa wakati wa uzazi kiasi hiki. Mbali na mimea tazama magonjwa yanayosababishwa na kuku na Ng'ombe hawa hawa wa Ulaya.

Huwezi fuga kuku wetu wa kienyeji karibu na hawa wa kizungu, utawazika wote... Siku hizi Mchele wa Mbeya (Kyela) umeshapotea, mimi nimetoka Ukerewe majuzi tu kuna aina kama tatu za mpunga bora Umekwisha potea kabisaaa, leo hii watu wanakula Kitumbo na long grain ambazo hazina hata radha acha mbali kunukia. Uncle hawa watu wana zabibu, tikiti maji machungwa na matunda mengi sana yasiyokuwa na mbegu hata moja kweli tutakosa kufa kwa maradhi yanayotokana na mazao yanayotengenezwa maabala?.

Mkuu, najua sana huna msalie inapoofikia swala la Ujamaa na Kujitegemea lakini unachokosea zaidi ni pale unapoutafsiri Ujamaa kwa neno moja tu U - Kommunist. Yes nakubali kuna makosa yalifanyika wakati wa Ujamaa lakini tusiwe wajinga kiasi kwamba hawa hawa wazungu ndio watoa medali za uhai na maisha yetu wenyewe.

Hakuna haja kabisa ya wao kutupongeza kwa mambo ambayo asili yake ni toka kwao yaani tumenunua mbegu zao mbolea zao na kadhalika...

Mti inayopandwa nchini ni miti inayohitaji maji mengi sana na huleta husabisha kuua mimea mingine isokuwa na nguvu. Sijui kama umefanya utafiti mkubwa kuhusu GM food na kuzielewa athari zake..Huyu mkuu wa UN kesha fika huko Tabora ama Pemba ama naye kaletewa habari hizi kuzitangaza ili kutufunga kamba za shingo kama mbuzi malishoni.

Samahani sana Field Marshall kwa hili sipo nawe na JK na huyo EL kusema kweli wamekuwa wamefungwa kamba shingoni wakilishwa mashudu (technologia) ilokwisha pitwa na wakati. They are looking for market na hasa baada ya nchi za Ulaya kushtuka baada ya kugundua mbinu zinazotumiwa na maabala ya mimea, wao wanarudi kwa kasi kubwa ktk vitu asili.

Sorry Bob, mimi nipo na Mwalimu hadi kesho, wanapokusifia hawa jamaa basi jua umefungia kanya boya!. China wamekuwa Magwiji ktk uchumi, lini umesikia wakipewa sifa?...Kila siku hawa jamaa wanaomba waione China ikidondoka tena basi hata program zinazohusu China zinaonyesha tu jinsi maskini wanavyozidi, mali zao feki hadi chakula kama vile wao hawana maskini ama vyakula feki.
 
Back
Top Bottom