Mwalupale
JF-Expert Member
- Apr 29, 2012
- 1,049
- 672
Huyu jamaa ukiingia youtube yuko number #1 on trending for five days now. Nitashangaa makampuni mbalimbali ya kibiashara na watu wa marketing wasipomtumia huyu mzee kwenye biashara zao. I see an opportunity for both, huyu mzee na kampuni itakayomtumia.
Angalizo tu ni kwamba makampuni hayo wasimtumie na kumtelekeza. Apewe counseling na kama kweli ni. alcohol addict ashauriwe.
Angalizo tu ni kwamba makampuni hayo wasimtumie na kumtelekeza. Apewe counseling na kama kweli ni. alcohol addict ashauriwe.