Brand zipi zime shine 2013

believer

JF-Expert Member
Dec 22, 2012
633
213
Wadau tukielekea kufunga mwaka,lets explore,brand zipi zimeshine,zimesifika sana,zimeuza sana,
note:hakuna promo
1.mabenki
2.mifuko ya pension
3.vituo vya redio
4.wasanii wa bongo flavour
5.kampuni za simu
6.social networks i.e skype,whatsap,fb instragram..
7.blogs za bongo
8.vyama vya siasa bongo
9.gari gan imenunuliwa sn na wabongo 2013
10.gazeti lipi limeuza sana
11.basi gani la abiria linaaminika zaidi
12.mwanasiasa gani mwenye ushawishi mkubwa ukiacha nafasi ya raisi
13.na mwisho tukio lipi moja limekusisimua zaidi mwaka huu.
 
13.IGP -mwema na kupoteza fimbo ya thamani mil 600 hili jambo limenisisimua sana.
 
Back
Top Bottom