Mwanaharakati2013
Senior Member
- Sep 29, 2013
- 170
- 15
wakuu.. kwa wauzaji wa laptop ninahitaji mini laptop kwa muuzaji yeyote anipe specifications na bei. ni kwa matumizi ya kawaida tu sina matumizi makubwa nayo.
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.