Brand New Laptops for sale!

Castle

Senior Member
Jul 25, 2008
116
20
CHANGE OF PRICE!
habari za mchana huu wana JF,
natafuta wateja wa laptops, ninazo laptops 3 mpya kabisa, 2 ni compaq na moja ni LENOVO.

zifuatazo ni specification zake,

1.compaq presario cq60
2.7ghz AMD Dual processor
3 gb ram
140gb hard disk size
windows vista/office 2003
wireless network card, dvd writer/avast antivirus
US $ 1150 now is US $1000 or 1350,000TSH

these are 2pcs

LENOVO
INTEL 2.17 core 2 duo processor
140gb hard disk size
2gb ram
windows vista/office 2003/avast antivirus
US $ 1200 now is us $ 1000 or 1,350,000 TSH.
this is one pc,

machine zote ni mpya, kwa mawasiliano nipigie +255 713 701 141.
karibuni
 
Last edited:
Hii nayo ni breaking news! Mhhh zisije kuwa ni zile zilizopotea baraza la mitihani!
 
thanks fidel, nadhani mwenye kuhitaji tuwasiliane tutaongea, na kuhusu kuibiwa naomba ondoa shaka, zimeletwa na ndugu yangu toka nje hivyo katika kumtafutia pesa kidogo anamua kuuza hizo tatu.
 
thanks fidel, nadhani mwenye kuhitaji tuwasiliane tutaongea, na kuhusu kuibiwa naomba ondoa shaka, zimeletwa na ndugu yangu toka nje hivyo katika kumtafutia pesa kidogo anamua kuuza hizo tatu.

Hehehe powa mkuu nimependa Castle bariiiiiiiiidi ila mm safari lager moto moto hapo hunitoi radha safi rangi ya mng'ao wa dhahabu.
 
Kitu Kinachouzwa mkononi Hakistahili kuwa Katika bei hiyo Kaka!
Unaweza kununua Hata $1500 Lakini unapata uhakika Warrant Mwaka mzima
Sasa Nitakupata Wapi Machine Ndio imeshanigomea?
Punguza bei Kisha specifiation Weka wazi kama Bado ni mma Katika Box Yaani Haijafunguliwa
NB:
Maeneo Kadha ya mitaa ya K'koo kuna Laptop mpya kwa Wasomali Bei $ 550-600 tena Duo halafu sealed katika box Guarentee wanatoa nenda Pale Dahabshil bureau de Change
 
mzee wala usihofu bei, unajua wabongo ukiweka bei ndogo watataka tena upunguze ndio maana nikasema anayehitaji tuwasiliane.
kuhusu wapi utanipata nitakupa adress yangu ninakofanya kazi na mimi nashughulika na maswala ya computer, ninafahamiana na watu muhimu sana hapa JF hivyo siwezi kufanya ujinga wowote, wanafahamu wapi naishi,ninakofanya kazi na mimi ni mtu wa namna gani.
 
Maeneo Kadha ya mitaa ya K'koo kuna Laptop mpya kwa Wasomali Bei $ 550-600 tena Duo halafu sealed katika box Guarentee wanatoa nenda Pale Dahabshil bureau de Change

Mkuu ipo mtaa gani hiyo bureau?
 
hiyo bei kubwa sana has ukilinganisha na bei zilizo maeneo mengine mjomba
wa mfano Mlimani City duka la Dell pale kuna punguzo la kuridhisha pamoja na guarentee na ingizo la programmes.
Shusha bei tukutafute mjomba
 
wakuu nitayafanyia kazi mawazo yenu, nitaenda kuchonga na mshikaji leo jioni ili tuone tupunguze kiasi gani, mnaweza kupendekeza kutokana na specs zingestahili kuuzwa kiasi gani.
siku njema.
 
Hebu mtake radhi mwenzio. Zilizoibwa aziuze kwa mtindo huu kwani mwenyewe hajipendi?

Mkuu hujui mambo ya Dar wewe! Jamaa wanaweza hata kuletea mke wa mtu ukaambiwa huyu ndo kwanza katoka Ilula.....! Ni vizuri kujua
 
Ndugu castle ambao tunadeal na ict hapa jf tunajuana unasema unajuana na wengi kama nani ? Mimi sikutambui siwezi kuwataja wengine lakini pia unavyouza kwa njia hiyo unakwepa kodi nalo ni makosa , je huyo mtu akija kununua unaweza kumpatia risiti za mwanzo kabisa incase chochote kikitokea ?
 
Masanilo, sijasema wengi ila nafahamiana na mtu muhimu sana JF, hivyo kwakuwa sijawasiliana naye kwa ridhaa yake kama ataniruhusu nitakupasha, ila kama unahitaji info zangu nipigie kwenye hiyo mobile yangu niliyotoa hapo juu.
 
Good News, baada ya kuwasiliana na mshika dau wangu na kupata mawazo yenu wana JF, tumeamua kupunguza bei toka US $ 1200 mpaka US $1000, ambayo kwa TSH 1,350,000.00. karibuni sana.

Back
Top Bottom