Brand new dell laptop computer

Status
Not open for further replies.

Akthoo

JF-Expert Member
Nov 5, 2007
998
1,015
DELL *INSPIRON 1525 LAPTOP COMPUTER WITH GLOSSY 15.4'' HIGH DEFINITION WIDE SCREEN DISPLAY AVAILABLE FOR IMMEDIATE SALE AT US $1300.
Specification:
Intel Pentium Dual Core CPU T3200(2.00 GHz)
RAM 3GB
HD 160GB
DVD+/-RW
Wireless 802.11b/g Mini card
Windows Vista (Home premium)
Microsoft Works 9.

Contact.
Kazim 0784 636291/0734 636291
 
Hiyo laptop imepita kwenye mikono mingapi, maana bei yake!

Wengine watasema hii ni biashara, wala sikatai. Ripoff ifanyike vichochoroni, somewhere I don't see!
Sorry Akthoo.

.
 
Hiyo laptop imepita kwenye mikono mingapi, maana bei yake!

Wengine watasema hii ni biashara, wala sikatai. Ripoff ifanyike vichochoroni, somewhere I don't see!
Sorry Akthoo.

.

Mkuu hiyo bei mmh!
Haina discount duh maanake hapa mjini kitu kipya unapata kwa $850 kuanzia bei hiyo $1300 bei kali balaaa ina miguu nini?
 
duh! Mbona nimeona kwenye website yao bei inaanzia £369,ambayo ni kama $600
 
Nashukuru kwa kutuwekea website..nimeenda kwenye link na kujionea .. Lakini nadhani hizi price ni kwa UK.. its a gud info though..

Still,bei yake ni kama $600,hii hapa ni zaidi ya mara mbili yake.Ina maana wewe ukiagizia huko pamoja na shipping na kila kitu labda utalipa sanasana $800-900
 
Still,bei yake ni kama $600,hii hapa ni zaidi ya mara mbili yake.Ina maana wewe ukiagizia huko pamoja na shipping na kila kitu labda utalipa sanasana $800-900

Mkuu ana accumulate big profit ndo biashara hiyo inavyo kwenda.
Elewa kuwa kila mfanyabiashara ni mnyonyaji malengo yake ni kupata faida kubwa sana.
 
Mkuu ana accumulate big profit ndo biashara hiyo inavyo kwenda.
Elewa kuwa kila mfanyabiashara ni mnyonyaji malengo yake ni kupata faida kubwa sana.

Mmh!

......................................
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom