Brand gani ya TV ni nzuri na bora zaidi

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Ninataka kununua TV LCD/LED..Brand za TV zipi nyingi sana ukizungukia madukani.

Kati ya Samsung, Sony Bravia, ZEC na LG..ipi ni bora zaidi ya nyingine? Kwa uangavu wa picha etc

Ninahitaji TV inch 32.
 
Ninataka kununua TV LCD/LED..Brand za TV zipi nyingi sana ukizungukia madukani.

Kati ya Samsung, Sony Bravia, ZEC na LG..ipi ni bora zaidi ya nyingine? Kwa uangavu wa picha etc

Ninahitaji TV inch 32.

Kutegemea na bajeti yako, Samsung smart tv, HDTV, 3D, LED display. Kuanzia series 6...
 
Samsung 32" Class (31.5" Diag.) LED 5500 Series
TV inaenda USD 500 hivi (Kama Tsh 807,000 hivi) ukinunua Samsung Shop.
 
TV nzuri kwa picha kuanzia angalau inch 40 (ingawa high end TV nyingi zinaanzia Inch 46) Na iwe LED Full High HD.

Mengine yote yatategemea we unapendelea muonekano gani Wa tv na pia unapendelea brand zipi za tv.
Ukifuata hii formula brand yoyote ya tv inafaa bila kujali umaarufu wa brand. ila ni vizuri kununua brand ambazo ni common kulingana Na Bajeti yako pia warrant ni muhimu, ikiwezekana wawe Na kituo cha kufanya service.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom