Bracket kumshitaki msanii chipukizi wa Uganda kwa kuiba wimbo wao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bracket kumshitaki msanii chipukizi wa Uganda kwa kuiba wimbo wao

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Kabota, May 10, 2012.

 1. Kabota

  Kabota Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Aug 15, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Wanamuziki wa kundi la Bracket la Nigeria Ozioko Nwachukwu a.k.a Vast na Ali Obumneme wamepanga kumshitaki msanii anayechipukia kwa kasi nchini Uganda, Ray wa Big Tym Crew kwa kuwaibia wimbo (Kukiuka sheria za haki miliki)


  Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa, wimbo wa Ray uitwao Kasenyanku, ambao unahit kinoma nchini Uganda ni kopi ya wimbo wao.


  Wasanii hao walikuwa wanangalia video kwenye mtandao wa Youtube na kama bahati tu wakaiona video hiyo na walipousikiliza wakasikia unasound kila kitu kama wimbo wao uitwao Me & You.

  Clink link hapo chini kwa taarifa zaidi na kusikiliza nyimbo hizo


  DAILY ENTERTAINMENT TAKE AWAY: Bracket kumshitaki msanii chipukizi wa Uganda kwa kuiba wimbo wao
   
 2. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Siyo habari nzuri kwa mwalimu timbulo!
   
 3. Kabota

  Kabota Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Aug 15, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Ni kweli sio habari njema kwake. Lakini yeye anadai kuwa alipewa go ahead na XMALEYA!
   
 4. TZ boy

  TZ boy JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 622
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Dipoz ajiandae lol
   
 5. TZ boy

  TZ boy JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 622
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  daa mkuu nimeicheki kwny blog yako ni bonge la blog kipitUP
   
 6. k

  kisukari JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  mambo ya ku copy sio mazuri,unless upewe go ahead na mmiliki
   
 7. Kabota

  Kabota Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Aug 15, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Thanks sana bro!
   
Loading...