BP yapigwa BAN! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BP yapigwa BAN!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaguar, Aug 12, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ewura yasitisha leseni ya BP kuuza mafuta kwa miezi mitatu.Lakini BP wamepewa ruksa kuyauza mafuta yao(Diesel,Petrol na Kerosene) kwa makampuni mengine.Hata hivyo BP wanaendelea kuuza mafuta ya ndege kwa sababu EWURA haina mamlaka nayo.
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,139
  Likes Received: 7,391
  Trophy Points: 280
  Uzushi tu,
  Ni sawa na usikie PAW kampiga BAN invisible!!
   
Loading...