Boyz 2 Men wametia timu??

BabaDesi

JF-Expert Member
Jun 30, 2007
6,032
3,944
Mpaka jana usiku Jamaa walikuwa hawajatia timu na tukaambiwa kuwa wangefika leo asubuhi. Wenye taarifa watujuze, Boyz To Men wametia timu Bongo ama wamechomoa na watu wanataka kuvuna wasipopanda???
 
Pesa zetu tutrudishiwa au ndi tushaliwa?????????
Kwenu waandaji!!!!
Cluods tunaomba n show zenu zisiwe kama hawa wahuni
....tetesi kwamba wamepatwa na malaria gafula!!!duh
haya yetu macho
 
Back
Top Bottom