Boys II Men & Co!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Boys II Men & Co!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Quemu, Dec 4, 2007.

 1. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2007
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Baada tu ya kusaini mkataba wa Buzwagi, inasemekana wana mazingaombwe wetu wali party vilivyo, kama inavyoonekana kwenye link hii:

  http://www.elfyourself.com/?id=1162009912

  Mods mnaweza kuihamisha kwenye jokes/udaku mtakaposijikia...
   
 2. green29

  green29 JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2007
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 312
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 35
  ha hahah ha mzee hii ni kali kubwa kuliko! NAshauri ingeoneshwa pale viwanja vya mnazi mmoja kwenye extra big screen!
   
 3. M

  Masatu JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2007
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Weeh Quick muhuni sana.... umenifanya nicheke mpaka basi!
   
 4. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2007
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hasa hiyo belt alo niga mhishimiwa teh teh.. but aisee kuwa mkuu wa kaya msanii noma kweli kweli! I wish angeiona make hapa angetapika kabisa kwani kaisha sema tayali watendaji wake wana mchefua!!! kwi kwi ... Pole yake!
   
 5. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #5
  Dec 5, 2007
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Lakini yeye si alishasema kelele huwa hazi mnyimi usingizi....
   
 6. Kinyau

  Kinyau JF-Expert Member

  #6
  Dec 5, 2007
  Joined: Nov 24, 2006
  Messages: 793
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  ha hahahaaaaa
  inaonyesha mzee karamagi ana vigimbi kuliko wenzie.Nahisi alipata vigimbi hivi wakati anazungukia vitalu vyake migodini.
  lol you realy made my day.
   
Loading...