Boxing Stance: Orthodox and Southpaw. Wapenzi wa ndondi tukutane

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
ORTHODOX AND SOUTHPAW
boxing-stance-too-straight.png

Kwenye ndondi, usimamaji wako huweza kuelezea aina yako ya mchezo.
Kwenye ndondi watu hawasimami Kama askari, mguu sawa, au mguu upande.
Ndondi mtu husimama akitumia akili nyingi Sana I'll aweze kushambuliwa kwa urahisi na kujihami kirahisi.
Kwenye ndondi Kuna aina mbili za usimamaji. Orthodox na Southpaw.
boxing-stance-too-straight.png


ORTHODOX:-
 
Southpaw ni baba lao kwa sababu ni wachache ukilinganisha na orthodox stance.
 
Orthodox ni bondia anayetumia sana mkono wa kulia hivyo hutanguliza mguu wa kushoto mbele ili kumlazimisha adui kusogea upande wa lia ambapo ndipo anapategemea sana ila pia kitendo cha kuweka mguu wa kushoto mbele kunaufanya mkono wa kulia kuwa mbali kidogo na mpinzani hivyo ngumi yake ikimpata ni balaa. Mkono wa shoto unatumika kupiga ngumi za kudonoa Mana unakua Karibu na adui. Southpaw ni kinyume chake
 
Hawa southpaw wanakuwaga hatari mnoooo
Sababu jeb zao zinakuwaga kulia na right kushotoo
Hapo unamkuta pacman paquiao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom