mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 626
Haya jamani kumekucha na mtanannge wa ngumi karibu utaanza.
Kwa wale wenye access ya super sport 2 kupitia ving'amuzi vya Dstv unaweza ukajionea mtanange huu wa kukata na
shoka kupitia chanel hiyo kati ya bingwa Manny Pacquiao na Juan Marquez(challenger) live from MGM Grand Garden
Arena-Las Vegas,United States.
Huu siyo mpambano wa kukosa kuangalia!....kwa wale wataalam wa michezo hii tunawaomba mtutupie utamu wa mabondia hawa wawili.