Boxing heavy weight mbona Afe Ajagba hazungumzwi sana

Hivi fury ana skills gani haswa kumzidi Afe! Au joshua nae ana skills gabi kumzidi mwamba Afe. Kwanza wote waoga.
Wilder kidogo ndio anaonekana kuwa na skills.
Nimejaribu kuangalia pambano la fury na klistov sikuona chochote zaidi ya kugusana gusana kwa vi punch visizo na madhara.

Afe ni swala la mida tu.
Usipotaka mkubali Fury ni sababu hufahamu Boxing. Fury ni Hard chin boxer, tactical na good puncher. Waulize waliopigana naye watakwambia. Jamaa ni mzuri sana na mvumilivu. Si mwoga.
 
Back
Top Bottom