Boxer inatakiwa ivaliwe siku ngapi kabla ya kufua?

Mademu hamruhusiwi kuchangia kitu hapa mana hatujadili chupi Wala bikini.



Heshima itawale kwa kumsaidia tu mtoa Uzi huu.


I giv y'all no my stance,my hygiene my privacy.
 
Upande daladala upate siti !
Halafu mweny boxa ya siku tatu ashike BOMBA saiz ya kiuono iwe usawa WA usooo ,khaaaaa!

Hui uvundo jamani

Mi huwa napisha akae yeye!

Fua boxa ,bukta kila sikuuuu
 
Utavaaje boxer zaidi ya mara 1? Mimi ni siku moja ama awamu 1 tu, kwa maana nikienda kuoga tu siirudii niliyovua, naifua papo hapo. Ukivaa boxer siku zaidi ya 1 je soksi siku ngapi? Soksi pia ni siku 1
Hakika nimeshangaa sana! Tena wengine wanasema hata mara tano! Labda kama wengi wanaorudia kuvaa ni teenagers
 
b031188cd37f42c75ac8988cba535ed0.jpg


Wakuu, kama swali linavyojieleza hapo juu...Boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi kabla ya kufuliwa?

Wanaume karibuni kutoa uzoefu na hata wanawake mnakaribishwa.

Kwauchache wake walau wiki mbili
 
Daaah boxer kwa Dar navaa mara moja...nikiwa mikoa ya baridi huwa napiga mpaka siku mbili tatu maana kuoga kwenyewe issue pia.

Kuhusu mavaza...huwa nina kawaida ya kubadili mashati tuu kila siku but nguo ya chin naweza kuzungusha siku mbili mpaka tatu yaani kwa wiki naweza vaa nguo za chini mbili au tatu tuu especially jeans and cadet.
 
Tena huu uzi umenikimbusha ninunue suruali nyingine aisee maana nilizo nazo nazani wamesha ni crame...Nina nguo za juu nyingi kuliko za chini naweza kuvaa nguo za juu kwa miezi miwil bila kurudi but za chini Dar siwezi kumaliza wiki mbili bila kurewind
 
Tena huu uzi umenikimbusha ninunue suruali nyingine aisee maana nilizo nazo nazani wamesha ni crame...Nina nguo za juu nyingi kuliko za chini naweza kuvaa nguo za juu kwa miezi miwil bila kurudi but za chini Dar siwezi kumaliza wiki mbili bila kurewind
:D:D:D
 
Back
Top Bottom