Boxer inatakiwa ivaliwe siku ngapi kabla ya kufua?

Weka wazi sasa hivi hakuna cha umri wala nini?Tatizo umetumia neno ujinga na mimi ninavyoelewa ujinga ni ile hali ya kutofahamu jambo fulani,sasa sijui wewe una maana gani?
Hadi hapo kama hujafahamu ujinga ninaozungumzia tayari na wewe ni MJINGA
 
Nikibadil Nguo Ndio nabadil na zote za nje na ndani so huwa in a range 2-3 days
 
Msiseme siku moja, siku moja ni masaa 24, huo ni muda mrefu sana, inatakiwa ivaliwe nusu siku yaani asibuhi unaenda kazini moja, unarudi usiku unavaa nyingine, asubuhi unaoga tena unavaa nyingine. Acheni uvivu boxer bei chini unaweza nunua hata 60 ukaweka ndani usirudie mwezi mzima. Mi nikiona boxer na sox hua nanunua all the time.
 
Wengi humu naona wanasema hua wanavaa siku moja..lakini ukweli wanaujua wenyewe...na makonda wa daladala najua wametia comment humu...sishangai nao wanasema wanavaa siku moja
 
Utavaaje boxer zaidi ya mara 1? Mimi ni siku moja ama awamu 1 tu, kwa maana nikienda kuoga tu siirudii niliyovua, naifua papo hapo. Ukivaa boxer siku zaidi ya 1 je soksi siku ngapi? Soksi pia ni siku 1
Ili uvae siku moja unatakiwa uwenazo kati ya 8-10 au zaidi na uwe mtu wa usafi kitu ambacho sio kweli kwa wanaume wengi labda kwa sie tuliooa
 
siku za joto navaa hata wiki 4 ila ule wakati wa baridi sina muda maalum.
 
Utavaaje boxer zaidi ya mara 1? Mimi ni siku moja ama awamu 1 tu, kwa maana nikienda kuoga tu siirudii niliyovua, naifua papo hapo. Ukivaa boxer siku zaidi ya 1 je soksi siku ngapi? Soksi pia ni siku 1
Mkuu Unajua maana ya UMAMA?
 
Back
Top Bottom