Boxer inatakiwa ivaliwe siku ngapi kabla ya kufua?

Natumaini kuna watu wanatania tu. Boxer unaivaa asubuhi jioni unabadili. Marufuku kurudia, usiku unalala na pj au pensi loose hivi.

Kama una uwezo jitahidi usirudie nguo yoyote. Binafsi huwa narudia suruali tu hasa Jeans.
 
b031188cd37f42c75ac8988cba535ed0.jpg


Wakuu, kama swali linavyojieleza hapo juu...Boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi kabla ya kufuliwa?

Wanaume karibuni kutoa uzoefu na hata wanawake mnakaribishwa.


Kwa mwanamme wa Dar (shoga au asiyejitambua), unaweza vaa hata mwezi mzima kwa sababu hudindishi na hutokwi na machozi ya dushelele.
 
Kubadili ya nini bhana ukisha weka mwilini wacha mpaka ichanike cha kufanya usilale nayo na Usioshe pia kumbuka kupaka mafuta Nguruwe li boxsa lako utainjoy pia epuka kulala na wanawake hata ukilala nae usifanye ngono ndugu yangu ni dhambi ati
 
Kama ni ya marekani basi ata wiki ila hizi za china ni siku mbili tu ya tatu unafua.
 
Kuna jamaa yangu analalamika mpangaji mwenzao waneamka hasbuhi wamekuta kaanika izo boxer kamba 3 zimejaa afu zote nyeupe jamaa mwenyewe hafananii na nguo nyeupe maana anafanya makazi magumu .wanaona jamaa ameona awauzie nyago
 
b031188cd37f42c75ac8988cba535ed0.jpg


Wakuu, kama swali linavyojieleza hapo juu...Boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi kabla ya kufuliwa?

Wanaume karibuni kutoa uzoefu na hata wanawake mnakaribishwa.
massaa tu boxer ni kama chupi kwa wanawake kwa hiyo ukiivaa asubuhi unatakiwa ikifka ass za mchana unabadirisha la sivyo kumbuka kuwa kila mwanaume anapoenda haja ndogo hatuendi na tisue kwa hiyo hata ukingu'uta masalia yanabaki kuharibu sehemu kichwa cha chini kinapokaa kwa hiyo inashauriwa ubadirishe
 
Back
Top Bottom