kiss daniel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 314
- 1,121
Mkuu hii habari ni ya kweli
Endapo meli hiyo ya mafuta ingekuwa ya marekan bas iran angeiteka lakin meli ya malkia siyo ya kuchezea chezea achana kabisa na England pangechimbika

Mhh .. Chai hii '' Mtoa mada tupatie link tukasome hii habari. .Iran hawawezi kuwa waoga kiasi hicho