Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 4,944
- 12,506
Mkuu huyo Chief engineer ni hazina kubwa kwa Azam Marine, ukitaka kumtoa hapo mzee Bakhresa lazima aingilie kati.Bora useme wewe mkuu, hadi jana bado upande mmoja ulikua uko majini. Naona hata wao ni kama wameikatia tamaa kutokana na uchakavu. Imekua na hitilafu za mara kwa mara kutokana na ukongwe.
Nje ya mada.
Jamaa yako yule Chief Engineer amerudi kazini baada ya kupona ile ajali lakini anasema pikipiki ndio kwaheri.
Kuna siku ulianika madini kuhusu fursa za biashara baharini nisikudanganye tokea siku hiyo ID yako siiangalii mara moja.