BOT: Wakopi na kupasted report January kwenye ile ya FEB

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,741
6,430
Ndugu zangu, nimeshindwa kuelewa kwanini benki kuu wanaposti report ya hali ya uchumi ikiwa na makosa, kwa kukopi na kupaste kile walichoripoti mwezi uliopita. Katika repoti ya hali ya uchumi ya FEB section 3 wamekopi kila kitu kama kilivyokuwa reported mwezi uliopita. Je ni sawa wakati si hali halisi?Kwa mfano report ya January wameandika hivi:
3.0 Government Budgetary Operations

In December 2016, the Government realized domestic revenue amounting to TZS 1,862.5 billion, which was higher than TZS 1,400.2 billion collected in the corresponding period in 2015. The revenue collections were 101.3 percent of the target for the month. Revenue collected by the central government amounted to TZS 1,823.7 billion, an increase of about 464.5 billion from the corresponding period in 2015.
KWA REPORT YA FEB; wameandika hivi:
3.0 Government Budgetary Operations

In December 2016, the Government realized domestic revenue amounting to TZS 1,862.5 billion, which was higher than the amount of TZS 1,400.2 billion collected in the corresponding period in 2015. The revenue collections were 101.3 percent of the target for the month. Domestic revenue collected by the central government amounted to TZS 1,823.7 billion, an increase of about 464.5 billion from the corresponding period in 2015. Tax revenue amounted to TZS 1,388.5 billion, an increase of 7.5 percent from similar month in 2015.

JE hii Taasisi kwanini hawaedit report zao kabla ya kuziweka kwenye mtandao? Kunaanayejua sababu??
 
Ulitaka wabadilishe nini hapo? Waseme makusanyo yalikuwa tofauti?
 
hii nchi kuwa ya viwanda ni ndoto kubwa sana...

vilaza wengi sana nchi hiiiiiiii japo wana vyeti vizuri

hapo unakuta aliye copy hapo ana div 1 secondary na chuo ana upper second..

pitia website hata ya ubaloz wa marekan tu uone data zao na hata matangazo ya kazi yanavyoandikwa kwa umakiniiiiii.. ila sisi hadi bot na hata udsm website unakuta taarifa zina makosa na ndio kumejaaa smart people eti. ..
 
Shushia na balimi ya baridiiiiii
 
sioni tatizo 'as long as' hawajazungumzia Mwezi Jan au February kwenye hiyo 'paragraph'...na 'wanareport' kitu kilichotokea mwezi wa Dec.Kwa hiyo usishangae kwenye 'report' ya March hiyo 'paragraph' ikiwemo tena
 
Tusilaumu wasomi wote kwa kosa la mtu mmoja!
 
sioni tatizo as long as hawajazunngumzia mwezi Jan au February kwenye hiyo paragraph...na wanareport kitu kilichotokea mwezi wa Dec.Kwa hiyo usishangae kwenye report ya March hiyo paragraph ikiwemo tena

SWALI JE NIKWANINI? JE SERIKALI HAIKUWAPA MKOKOTOO? SUALA NIKUJUA KUNANINI?KAAMA MFUMO WA SERIKALI NI WA OVYO KIASI KWAMBA TAKWIMU HAZIPATIKANI KARAHISI BASI WASEME. MSOMAJI YEYOTE ANATAKA KUJUA PERFORMANCE YA NCHI KIUNCHUMI MWEZI JANUARY NA FEBRUARY SASA UNAKUTA DATA ZA DECEMBER KWENYE REPORT YA FEBRUARY HALAFU TUONE NI SAWA TU.
 
Tusilaumu wasomi wote kwa kosa la mtu mmoja!

hujawai kuona taarifa kutoka ikulu zina makosa??? mfano juzi tu ya mama salma kuteuliwa....

au kuna ile jina lilikosewa wakati wanachagua wakurugenzi...

makosa kama haya ni ya kizembe sana ambayo huwez yafanya sehem nyeti kama hizi...

kama kukagua ulichokiandika tu unakosea au hukagui je utaweza kuendesha mashine ya kiwanda kweli.. si tutauana kila siku kiwandani
 
sioni tatizo 'as long as' hawajazungumzia Mwezi Jan au February kwenye hiyo 'paragraph'...na 'wanareport' kitu kilichotokea mwezi wa Dec.Kwa hiyo usishangae kwenye 'report' ya March hiyo 'paragraph' ikiwemo tena

Are sure huoni tatizo?

Pitia ripoti zao hata tano za nyuma kwenye hiyo part ya "3.0 Government Budgetary Operations"; Ripoti ya February inatoa review ya January, January inatoa ya December, so kila mwezi unaangalia review ya mwezi uliopita.
 
Tena sio upper class pengne n first class ya kukariri anafanya utumbo huo! Ubashite co lazima upate yao o level hata kupata GPA ya kukariri nayo n ubashite tu!
 
Ndugu zangu, nimeshindwa kuelewa kwanini benki kuu wanaposti report ya hali ya uchumi ikiwa na makosa, kwa kukopi na kupaste kile walichoripoti mwezi uliopita. Katika repoti ya hali ya uchumi ya FEB section 3 wamekopi kila kitu kama kilivyokuwa reported mwezi uliopita. Je ni sawa wakati si hali halisi?Kwa mfano report ya January wameandika hivi:
3.0 Government Budgetary Operations

In December 2016, the Government realized domestic revenue amounting to TZS 1,862.5 billion, which was higher than TZS 1,400.2 billion collected in the corresponding period in 2015. The revenue collections were 101.3 percent of the target for the month. Revenue collected by the central government amounted to TZS 1,823.7 billion, an increase of about 464.5 billion from the corresponding period in 2015.
KWA REPORT YA FEB; wameandika hivi:
3.0 Government Budgetary Operations

In December 2016, the Government realized domestic revenue amounting to TZS 1,862.5 billion, which was higher than the amount of TZS 1,400.2 billion collected in the corresponding period in 2015. The revenue collections were 101.3 percent of the target for the month. Domestic revenue collected by the central government amounted to TZS 1,823.7 billion, an increase of about 464.5 billion from the corresponding period in 2015. Tax revenue amounted to TZS 1,388.5 billion, an increase of 7.5 percent from similar month in 2015.

JE hii Taasisi kwanini hawaedit report zao kabla ya kuziweka kwenye mtandao? Kunaanayejua sababu??
Hakuna tatizo hapo taarifa hiyo inazungumzia Government Budgetary Operations kwa mwezi wa Dec 2016 hivyo hata ikitolewa Feb au March lazima ibaki hivyo hivyo...!! Au tatizo ni uelewa??
 
Back
Top Bottom