Wananchi hatuna imani na yeye (Meghji) licha ya hao BOT.
Yaani ni kichekesho, yeye ambaye alikuwa na miaka miwili ya kuisafisha
BOT lakini akakaa kimya, sasa anajifanya anatusemea wananchi?
Wakuu,
Hivi huyu Mangi Pesambili Mramba mbona huwa anasahaulika sana? au anaogopwa?
Wakuu mbona huyu jamaa amekaa kimya? Jamani tuanzisheni kampeni za kumsukuma nje ya ulingo huyu mtu aliyelitia taifa hasara kubwa tangu akiwa waziri wa Fedha
Sasa JK kwa mara ya pili bado aendelea kumteua Meghji kuwa Mbunge wa kuteuliwa........is he serious on war against corruption or is he a key player in precipitating this nation into the abyss of state sponsored graft?