BoT Saga Unfolding: Ilikuwa Balali auwawe kwa sumu- Fununu !

mtu aliwekewa sumu, kabla ya kuondoka kwenda marekani kwenye matibabu akaitisha press conference kwanza. Duu, hiyo sumu au mkojo wa punda.

Ukweli ni kwamba hakuna mtu yoyote hapa anayejua kama Balali ni mgonjwa au la, yuko hospital au nyumbani. Kila kitu hapa ni kubuni tu. Ngoja tuone hii extradition ya wamarekani. Ukweli unaweza kujulikana.
 
Mtaalam yaani na wewe umeamini kaenda Malta? Kwanini asiende Belize au Trinidad and Tobago?

hahaha ma point is wherever he is kwanini asitoe hata baruahivi akishindwa mahojiano ya kutupa ukweli halisi??tahts wat i want

i wish ningekua mwandishi wake duhh pindi angekufa ningepata mijihela ya kutosha as ningekua nawarusha watu roho tuu nina habari kamili nunua kitabu changu hiki...mwe mwe mweee its jus kind of a joke

tukirudi in reality nchi yetu ishaozwa na wakubwa ndio wanatumbua mahari tuuu
 
Kalamu,
Kuna mtu kati yetu mwenye hakika kuwa Balali hakuanza na matibabu hapo Bongo?...Hata hivyo hizi zote ni dhana na speculation zetu dhidi ya mjumbe ambaye hatakiwi kuuawa.
Kifupi tunamhitaji Balali na ajitokeze hata kwa statement yenye Utata kama alivyofanya Mama Meghji ambye sasa hivi kulingana na maelezo ya Mzee mwanakijiji na mahojiano baina yao - binafsi nampa benefit of doubt. Sii kazi ndogo kwa kiongozi hasa wa Kibongo kusimama na kueleza upofu wake pale alipotakiwa kuwa makini.
 
Mtanzania,
Ngoja nikusaidie. Barua ya kujiuzulu aliidictate kwa simu kwa secretary wake pale BOT. Ikulu ilipelekewa fax na pia ikapelekewa original letter by courrier na kuna mhuri wa Ikulu kuonyesha kuwa hiyo document ilipokelewa. Maafisa wa Ikulu wakaamua kuivujisha kwa vyombo vya habari halafu ndio ule mchezo ukaanza kuwa rais hajaipokea, rais yuko likizo, etc.etc.
 
Kalamu,
Kuna mtu kati yetu mwenye hakika kuwa Balali hakuanza na matibabu hapo Bongo?...Hata hivyo hizi zote ni dhana na speculation zetu dhidi ya mjumbe ambaye hatakiwi kuuawa.
Kifupi tunamhitaji Balali na ajitokeze hata kwa statement yenye Utata kama alivyofanya Mama Meghji ambye sasa hivi kulingana na maelezo ya Mzee mwanakijiji na mahojiano baina yao - binafsi nampa benefit of doubt. Sii kazi ndogo kwa kiongozi hasa wa Kibongo kusimama na kueleza upofu wake pale alipotakiwa kuwa makini.

Hakuna; ingawaje iligusiwa mahala fulani humu kwamba isingewezekana kwake kwenda hospitalini hapa Bongo kutibiwa kwa sababu zinazoeleweka.
 
Mwafrika wa Kike,

Barua yake ya kujiuzulu aliitolea wapi? Kama aliweza kufikisha ujumbe wake wa kujiuzulu kwa Watanzania, nina uhakika anaweza kabisa kufikisha hata mambo mengine.

Hili la barua ya kujiuzulu aliwapatia Ikulu ambao walimtuma RO kuja hapa "kumjulia hali" na kumshauri kuwa asirudi kabisa Tanzania. Hii barua ilivujishwa na wafanyakazi wa ikulu na kwa kweli ukiniuliza aliwapatia wapi nitakuwa mgumu sana kueleza.

Kuna mambo mawili yamewachanganya ikulu mpaka sasa hivi.

1. Kitendo cha kukuta jamaa akiwa hai
2. Kitendo cha Balali kujiuzulu kabla wao "hawajamfuta kazi"

Kuna namna nyingi sana Balali anaweza kutoa story yake. Kwa sasa tutaset up international media kama CBS ili jamaa aweke story yake kwenye record. Kwa sasa kuna rush ya PR no wonder hii story ya kufutiwa viza na kukimbilia Malta imetoka leo.

Kuna watu ikulu na usalama wa taifa wangependa sana kusikia kuwa Balali amekufa. Mimi pia ningependa kuona Balali akipata adhabu kubwa sana kwa aliyotenda (nimekuwa nasisitiza hili hapa mara kwa mara).

Mambo na msimamo wangu umebadilika kwa muda baada ya kuona Kikwete akiacha kabisa kwa wazi kutaja makampuni kama DeepGreen kwenye hiyo sensored report aliyotoa ya uchunguzi wa BOT. Mambo yamebadilika sana baada ya kuona akitaja kiwango cha bilioni 133 badala ya bilioni 200 na zaidi zinazotajwa kupotea BOT.

Kama Report huru ya uchunguzi wa fedha inazimwa na Kikwete na jamaa wa usalama kwa sababu zisizoeleweka, je hayo ya Balali nani atayaweka hadharani? Kama barua ya kujiuzulu jamaa waliruka mita mia tatu, je hii report yake nani ataikubali?

Naweza kuja kesho hapa na kusema kuwa nina maneno ya Balali, ni wangapi hapa wataamini kuwa ni kweli? Tatizo ni kuwa investigative journalism inachukua muda mrefu. Jamaa wa west wanataka kuwa sure kabisa kabla ya kurusha story yoyote.

Nina uhakika Balali atawataja wote waliohusika na hii issue na wale wanaojaribu kumtwika msalaba wote huu peke yake. Mwisho wa maneno siwezi kusubiria nikimwona Balali akienda Keko huku akifuatiwa na mafisadi wenzake kina Mramba, Mgonja, Mkono, Aziz, Mkapa, ....... na hata Kikwete mwenyewe ikibidi.

Just wait for the music!
 
Guys you are now loosing your direction of this debate . Maana mnasema mengi na hata mnashindwa kujua nini mnataka . What is the issue hapa ? Hii mada ni Ballali na kutaka kuawa kwa sumu .Haya ya kusema aje aseme au barua yake aliitolewa does it have any connection na sumu ? Hapa all we need to know kwamba ni kwa kiasi gani hii habari ya kutaka kummaliza kwa sumu ni credible . Now Mwafrika mwanamke kasema anahy yajua ukija na hoja ya hapana ijenge nasi tukuelewe na ukitaka kujua kwa nini hajajitokeza basi anza topic mpya .

Nina sema Ballali is doing well na hatakaa akaenda Malta . Kuna polical gains hapa zinapikwa na kama kweli kaondolewa Visa wacha tuone kama atarudi . Habari hizi mnakimbia nazo hata mwisho mtatufanya sote tuonaneka watu wa kusema majungu .Slaa kasema alisikia ina maana hana uhakika . Tumia akili ya Kawaida yaani aliyekuwa Gavana aende Malta ?

Ama kweli akili ni nywele . Jasusi nakubaliana nawe kwamba the time will come watu watalia na kusaga meno .Sasa wameona ni jalala la kutupa kila kitu kuficha mambo yao lakini kaeni macbo Ballali anakuja kusema yote hapo mtajua kwamba mmekalia Ncha ya mkuku lazima itwaingia tu .
 
Mwafrika wa Kike,

Hiyo report naamini itatolewa, labda kuna mambo muhimu kwenye uchunguzi ambayo wanayaficha.

Hiyo report imetayarishwa na watu wengine kwahiyo kuvuja ni rahisi. Siamini serikali wameikalia kwa ajili ya kuficha mambo, wakifanya hivyo watakuwa wajinga sana maana itavuja tu.

Hata hao IMF, Worl Bank wataanza kuiulizia muda sio mrefu.

Kitendo cha serikali kwenda ubalozini na kuulizia status ya Ballali USA ni ishara tosha kwamba wameamua kumvaa. Ingelikuwa wanamlinda wasingeenda ubalozini. Kama analindwa basi analindwa na watu kama akina Mkapa ambao nao hawana nguvu tena.

Hapa naona Ballali mambo yamemshinda, amekuja na kila aina ya sababu lakini zote ni nyepesi mno.

Sitashangaa akinywa sumu na kujiua. Kinachotokea sasa kinanikumbusha siku za mwisho za Maboutu. Mgonjwa anakimbia huku na huku, mwisho Ballali ataishia kufia na kuzikwa ugenini na watu wachache maana hata marafiki aliokuwa anakula nao wataogopa kwenda.
 
Acha watu waseme as long as ipo kwenye topic ya Balali, haya mambo mengine ni censorship tu, unaweza kusema tuzungumze juu ya rangi ya hoteli aliyofikia balali tu, hata tukizungumzia uzuri wa vitasa tutakuwa tumetoka nje.

This is "new media", haya mengine mambo ya editors wa magazeti ya chama.
 
Mwafrika wa Kike,

Hiyo report naamini itatolewa, labda kuna mambo muhimu kwenye uchunguzi ambayo wanayaficha.

Hiyo report imetayarishwa na watu wengine kwahiyo kuvuja ni rahisi. Siamini serikali wameikalia kwa ajili ya kuficha mambo, wakifanya hivyo watakuwa wajinga sana maana itavuja tu.

Hata hao IMF, Worl Bank wataanza kuiulizia muda sio mrefu.

Kitendo cha serikali kwenda ubalozini na kuulizia status ya Ballali USA ni ishara tosha kwamba wameamua kumvaa. Ingelikuwa wanamlinda wasingeenda ubalozini. Kama analindwa basi analindwa na watu kama akina Mkapa ambao nao hawana nguvu tena.

Hapa naona Ballali mambo yamemshinda, amekuja na kila aina ya sababu lakini zote ni nyepesi mno.

Sitashangaa akinywa sumu na kujiua. Kinachotokea sasa kinanikumbusha siku za mwisho za Maboutu. Mgonjwa anakimbia huku na huku, mwisho Ballali ataishia kufia na kuzikwa ugenini na watu wachache maana hata marafiki aliokuwa anakula nao wataogopa kwenda.

Mtanzania:
Inaelekea unakamilisha nyuzi 360 sasa! Mbona sikuelewi tena?
Yaani serikali sasa hawana 'interest' naye kwa vile hana pa kukimbilia tena?

Zinga ulilolitoa ni hilo la mwisho: Yaani sasa akifa kwa sumu tujue kajiua?
Au sijakuelewa vizuri?
 
Serikali haina sababu ya kumlinda Balali maana huko wengi wanapenda kusikia kuwa amekufa hata leo hii. Haya ya serikali ya kufuatilia status ya Balali ni PR. Kumbuka kuwa Kikwete ni rafiki mkubwa wa Kichaka na inayochezwa hapa ni PR bab kubwa sana.

Kuhusu report wewe sahau kabisa IMF na WB maana hao ni wezi tu na wanafurahia kinachoendelea hapa. Kikwete ameikalia hii report kwa makusudi kabisaa ili kuficha uhusikaje wake na makampuni kama DeepGreen katika hili.

Huu wizi wa Balali unawagusa wengi sana na pesa nyingi zimechukuliwa na machine ya Kikwete na kundi lake. Just wait for the side ya Balali akiamua kufanya the right thing na kuondoka na wezi wenzake.
 
Ballali akiwa ndani ya USA mchana huu ameongea na mtanzania mmoja na amesema he will come out na kusema kilicho tokea.Amesema kachoka kutukanwa na kuharibiwa jina na muda wowote kuanzia sasa anaweza kufanya mahojiano ana kutoa a long statement yenya majina ya makampubi na account numbers ambako mapesa yaliko enda na kwa sababu hiyo ndiyo maana Mgonja na Mramba hadi sasa wamesha tumia mapesa mengi sana kupiga simu kwa marafiki zako US kuulizia kama ni kweli Ballali anaweza kuongea maana wanaogopa asije akaweka sawa mambo . Huyu Meghji nadhani anacheza ila tungoje na tuwe na subira .Epukeni habari za PR hapa watanzania wenzangu hakuna cha Visa wala kibali kilicho guswa ila ni kweli maofisa wa serikali wana hangaika mno kujua aliko Ballali .Wana shida gani mimi siwezi kujibu maana hawasemi kwa nini wanamtagfuta na kuulizia Ubalozi wa marekani hapa Dar .
 
Mwafrika wa Kike,

Kitendo cha serikali kwenda ubalozini na kuulizia status ya Ballali USA ni ishara tosha kwamba wameamua kumvaa. Ingelikuwa wanamlinda wasingeenda ubalozini. Kama analindwa basi analindwa na watu kama akina Mkapa ambao nao hawana nguvu tena.

Hii inawezekana kabisa kuwa ni PR kutoka URT na serikali ya kichaka. Technically, that's exactly what happened, that is Ballali's visa being revoked. Lakini kitu ambacho hawasemi ni kuwa, hii inamaanisha kuwa ile immunity ambayo gavana alikuwa nayo kutokana na wadhifa wake (diplomatic), iliisha pale kibarua chake kilipoota mbawa. Lakini yeye binafsi bado anaweza akawa na hiyo visa.

Kuwa au kutokuwa na visa hicho si cha msingi. Naamini hii ni danganya toto ili wadanganyika watulie. Binafsi naona kuwa URT (Chenge, Mgonja, Mramba, BWM, etc) wamemtosa Ballali ambaye ni samaki mdogo tu. Kuna papa wakubwa wanaohusika katika soo hili ambao wanalindwa huku Ballali akifanywa kafara.
 
My take ni kwamba Balali, sio msafi katika hili sooo zima, yes alikuwa aki-cover his back, lakini na yeye sio msafi ninaomba kwenye hilo awe mkweli na asituzuge when the time comes, kwanza aseme madhambi yake, baadaye ndi aanze ya wengine, anything less ataharibu kuliko ilivyo sasa,

Ninaaamini kuwa anaumwa lakini pia huo ugonjwa unakuzwa mno, kwa wale mlio karibu naye mwambieni kuwa kwenye siasa, una-strike back when mambo bado yako hot kama yalivyo sasa, vinginevyo ataishia kuaibika, alioshirikiana nao sio wajinga, ninaamini kuwa ndio walio iomba US imtoe viza,

Hapa kama sikosei ana-deal na mikono mizito kama sio serikali, na kama ni kweli basi mpaka this weekend asiposema anything, he is dooomed, Mama Meghji naaamini amejisema kwa kuogopa huyu Balali atakaposema, na sio ripoti, sasa Balali asiposema wote waliohusika watatafuta njia za kutoka kama ya mama meghji, in the end atabaki yeye peke yake,

Kwa kumaliza ninasema aseme sasa or hakuna atakayemuamini, kwa sababu story zitakuwa nyingi mno itakuwa vigumu kuchambua nani anasema ukweli au uongo, iwapo ataendelea kujificha, kuna ambao tulikuwa tunajaribu kumpa benefit of the doubt lakini sasa tunaazna kuwa na mashaka naye kuwa na yeye anajaribu kuficha something, ajitokeze aseme madhambi yake yote kwanza, and then the rest of the story!

Aseme sasa or never!

Mkuu Mitomingi,

Do not buy that wanajua alipo, si wamemtembelea hivi karibuni au?
 
MWK, ukipata taarifa lini atakuwa 60 minutes basi tuarifu ili tukiangalie kipindi hicho na pia kukirekodi kwa manufaa ya umma wa Watanzania.
 
MWK, ukipata taarifa lini atakuwa 60 minutes basi tuarifu ili tukiangalie kipindi hicho na pia kukirekodi kwa manufaa ya umma wa Watanzania.

Pa Kusemea Isiwe Taabu.
Huko 60 Minutes kwa sasa hivi sio 'feasible.' Itamchukua muda mrefu mpaka ujumbe utoke.

Anachotakiwa kufanya kwa uhakika na haraka ni kuwasiliana na Dr Slaa na kumwaga kila kitu chini, pamoja na madocument yote yanayohusika. Akifanya hivyo kazi yake amemaliza; awaachie waTanzania wachambue mchele na pumba wenyewe.
 
This Is The Time Now Tanzania Inaingia Kwenye Rennaissance Ambayo Ulaya Waliingia Mwaka1600

Sumu Unaweza Kwenda Nayo Kama Utapata First Aid Kwanza Kama Kupewa Maziwa, Kutumia Mkojo Ili Utapika Maana Haya Huwa Yanatuliza Makali.

Mfano Mzuri Ni Magufuli Alipopewa Sumu Na Baadaye Kukimbizwa Ujerumani.
 
Hamna sumu wala nini ni U spin tu unaendelezwa humu netini na ktk magazeti ya bongo.
 
Mtanzania:
Inaelekea unakamilisha nyuzi 360 sasa! Mbona sikuelewi tena?
Yaani serikali sasa hawana 'interest' naye kwa vile hana pa kukimbilia tena?

Zinga ulilolitoa ni hilo la mwisho: Yaani sasa akifa kwa sumu tujue kajiua?
Au sijakuelewa vizuri?

Kalamu,

Sijabadilika nyuzi 360, ila hainiingii kichwani kwamba eti serikali wanataka
Billali afe. Ushahidi wote uliopo ni kama wanataka arudishwe TZ ili kazi ianze.

Nikisema serikali hapo nina maana rais, maana kwa vyovyote kuna vibaka wengi tu wangetaka kweli wamuue Ballali ili kuficha madhambi yao.

Mimi hata siamini kama huyo Ballali anaumwa, hapa tunachezewa chess na tumedumaa maana hatuelewi kinachoendelea.
 
Back
Top Bottom