BOT: Pamoja na kupata makusanyo, bajeti ya 2018/19 imetekelezwa kwa 68.5% pekee

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeeleza kuwa bajeti ya Tanzania katika mwaka wa fedha uliopita 2018/2019 ilitekelezwa kwa 68.56% (TZS 22.265 trilioni), kati ya makadirio ya TZS 32.5 trilioni yaliyopitishwa na Bunge.

Kati ya fedha hizo, TZS 8.45 trilioni zilitumika kwenye miradi ya maendeleo na TZS 13.8 trilioni zilitumika kwenye matumizi ya kawaida.
 
Mabeberu hawatoi pesa tena za bure sababu ya udicteta

Halafu tunaenda kukopa kwao na tunanunua ndege halafu tunadai mapato ya ndani.

Kikwete alikuwa hakusanyi kodi lakini budget haijawai kushindwa kutekelezwa chini 75%

Ukifeli uchumi umeshindwa kila kitu.
 
Bajeti za Magu hazina uhalisia. Pia anaowaita mabeberu wamezuia pesa zao kwa Mambo ambayo yangeweza kuepukika kabisa sema ushamba tu wa mtu kuropokaropoka.
 
Back
Top Bottom