BOT lini hela za zamani zitaisha kwenye mzunguko?

kingxvi

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
879
150
toka hela mpya zimeingia kwenye mzunguko ni mwezi wa 4 sasa tunaenda wa 5 lakini cha kushangaza hela za zamani bado nyingi kwenye mzunguko kushinda mpya.nchi inakuwa na hela aina mbili? Hii ni hatari sana kwa nchi Mbona mwaka 2003 zilipoingia hela mpya kwenye mzunguko hazikukaa sana kama hizi? Tuambie lini zitaisha kwenye mzunguko hizi hela?
 
Naona kama wamesitisha kuziweka kwenye mzunguko zile pesa mpya! Quality ya pesa mpya ni poor, sasa hivi nakutana nazo zimechakaa kuliko za zamani! Nadhani kilaza Mkulo ameambiwa azipige stop. Hata kwenye ATM zinatoka za zamani tu!
 
dah yan pesa mpya hazipo kwenye kiwango kabisa zmchuja balaa kama jero jero ni aibu zmchka sna
 
Kweli wahusika wanapaswa wawajibishwe,kwani kuchapisha noti mpya ni gharama kubwa sana,sasa hili la kuchapisha noti gharasha siyo ufisadi kweli??
 
wrong statements. Jamani unajua benki kuu wana akili timamu. Wakiziweka zote mara moja watu wataumia. Inflation itakuwa due to high money supply. Tuna avoid these consequences. Kwani mnazitaka za nini. Kwani za zamani zinakataliwa na wafanyabiashara. Yaonekana nyinyi ndo mnasambaza feki
 
Usituletee siasa hapa hizo noti ni poor quality,hazifai kabisa halafu we unae tetea huu uozo ni nani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom