BOT INA WAFANYAKAZI 1325 huo sio utumiaji wa hovyo wa kodi zetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BOT INA WAFANYAKAZI 1325 huo sio utumiaji wa hovyo wa kodi zetu?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by BONGOLALA, Jul 27, 2011.

 1. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  nimesikia clip ya prof ndulu gavana bot eti watoto wa vigogo ni wachache sana ukilinganisha na wafanyakazi waliopo 1325.Jee kampuni ya airtel au vodacom yenye minara kila kilometa 5 na ofisi kila mkoa inawafanyakazi wengi hivyo?huu ni utumiaji wa rasilimali zetu hovyo hovyo kwani bot ina ofisi ktk kanda tuu arusha,mwanza,mbeya,zanzibar na dar.Anasema uchumi unakua lakini si hali ya maisha.naombeni wana jf mnipe tofauti ya uchumi na hali ya maisha
   
 2. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,550
  Likes Received: 612
  Trophy Points: 280
  Mhh!!
  Mzee hii ni kweli?? Hebu confirm pls, nataka kutapika!! mbona kama wengi sana (Elfu moja mia tatu ishirini na tano?)?
   
 3. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,390
  Likes Received: 3,719
  Trophy Points: 280
  Kujuwa kama hao ni wengi au wachache hebu tujaribu kutafuta nini BoT wanatakiwa wafanye. Kumbuka hao wafanyakazi wa Airtel au VODA wana wakandarasi wengi wanaowafanyia shughuri zao kwa malipo.
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  ndugu tafuta bajeti ya bot au wakitangaza tender zao utaona wanawakandarasi wengi tena wa bei za juu kuliko vodacom na airtel.hembu nenda ofisi za airtel dar pia tanroads wamepanga pale magari ya thamani na mengi ya tanroads utaijua serikali yetu kipaumbele chake ni kipi
   
 5. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Inawezekana BOT ina over employment kwa sababu wanafanya na majukumu ya commercial banks. Nadhani optimal number ya central bank haipaswi kuzidi 500
   
Loading...