mazagazagatza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 209
- 223
Hongera benki kuu na serikali kuja na mkakati huu.Benki kuu ya Tanzania imetoa muongozo wa benki za biashara kupunguza riba kwa sekta binafsi.
Benki kuu imetenga fungu la Trilioni moja ambayo itatumika kuzikopesha benki na taasisi za fedha kwa riba ya 3% na kutaka benki zitoe mikopo kwa riba isiyozidi 10%.
Binafsi napongeza hizi hatua za serikali katika kuongeza ukwasi na mzunguko wa pesa mitaani. Riba kwenye mabenki ya biashara iko juu sana.
View attachment 1870011View attachment 1870012View attachment 1870013View attachment 1870014
Hii ni hatua nzuri sana.
Haya ndiyo mambo ya kishua tunayotaka.