BOT Financial Position as at 31 January 2008

Mkaguzi

JF-Expert Member
Sep 26, 2007
250
27
Wazee kwenye kuperuzi nimekutana na hii balance sheet ya BoT. Naomba wataalamu wa mambo ya fedha na uhasibu watusaidie kufanya analysis ya hiyo B/S. Jamaa hawajaweka Notes to Financial sasa cjui wanataka hizo block figures zitusaidie nini.

Inapatikana kwenye web yao.
 

Attachments

  • BalanceSheet31Jan2008.pdf
    87.3 KB · Views: 80
Back
Top Bottom