MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,924
- 8,911
Limbwata mlilolishwa na zee la vi-wonder ni original kabisa.Ikiwa mali za hazina hazitopanda na kushuka basi hizo zitakuwa mali mfu.
Na ikiwa hatu "service" mikopo hatutaweza kulipa tena wala ku "negotiate" punguzo au kufutwa madeni yetu.
Sioni tatizo hapo bali naona maendeleo kwani ikiwa una hazina kubwa benki na imekaa tu hayo maendeleo utayaleta na nini? Ni lazima mali izunguke ili kuongezeka.
Ni principle pekee ya kuukuza uchumi unaotegemea mzunguko wa fedha unless uwe tayari unaingiza pesa nyingi kuliko matumizi, ambako bado hatujafikia.
Linafanya kazi hasaaa, mtukufu Jiwe hajawahi kukosea kabisa.