Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Acha siasa kwenye mambo ya msingiB.O.T ya ufipa hii.uchumi umekuwa.fedha ya akiba ipo ya kutosha na deni la taifa bado halijaongezeka tangu january 2019
rejea hotuba ya kasimu majaliwa last week akiaahirisha kikao cha bunge
Leta takwimu hata za kwenye makaratasi tu zitakazoonesha uhalisia wa hiyo hotubaB.O.T ya ufipa hii.uchumi umekuwa.fedha ya akiba ipo ya kutosha na deni la taifa bado halijaongezeka tangu january 2019
rejea hotuba ya kasimu majaliwa last week akiaahirisha kikao cha bunge
Mwenendo wa uchumi wa nchi na akiba ya fedha za vinaratibiwa na Bot na si majaliwa! Kila anayewaambia ukweli mnamchukia! Twaweza wabaya,Cag mbaya,sasa Bot nao wamekuwa wabaya!!B.O.T ya ufipa hii.uchumi umekuwa.fedha ya akiba ipo ya kutosha na deni la taifa bado halijaongezeka tangu january 2019
rejea hotuba ya kasimu majaliwa last week akiaahirisha kikao cha bunge
Vp ukijua limeongezeka na majaliwa kadanganya??!?B.O.T ya ufipa hii.uchumi umekuwa.fedha ya akiba ipo ya kutosha na deni la taifa bado halijaongezeka tangu january 2019
rejea hotuba ya kasimu majaliwa last week akiaahirisha kikao cha bunge
Nadhani mwenzetu unaishi mbinguni,2015 uchumi ulikuwa 7.plus sasa ni 6.point tumekuwa au tumerudi thamani ya soko la hisa 2018 ilishuka kwa 50% export imeshuka haina mfano,shilingi imeporomoka sasa huo uchumi unaokuwa uko wapiB.O.T ya ufipa hii.uchumi umekuwa.fedha ya akiba ipo ya kutosha na deni la taifa bado halijaongezeka tangu january 2019
rejea hotuba ya kasimu majaliwa last week akiaahirisha kikao cha bunge
Ni kweli mimi sio mchumi, lakini huwezi kunidanganya kizembe hivyo.endelea kuangalia makovu ya mgongoni mwa lisu ndio size yako.uchumi na kilaza wapi na wapi
B.O.T ya ufipa hii.uchumi umekuwa.fedha ya akiba ipo ya kutosha na deni la taifa bado halijaongezeka tangu january 2019
rejea hotuba ya kasimu majaliwa last week akiaahirisha kikao cha bunge
Ikiwa mali za hazina hazitopanda na kushuka basi hizo zitakuwa mali mfu.
Na ikiwa hatu "service" mikopo hatutaweza kulipa tena wala ku "negotiate" punguzo au kufutwa madeni yetu.
Sioni tatizo hapo bali naona maendeleo kwani ikiwa una hazina kubwa benki na imekaa tu hayo maendeleo utayaleta na nini? Ni lazima mali izunguke ili kuongezeka.
Ni principle pekee ya kuukuza uchumi unaotegemea mzunguko wa fedha unless uwe tayari unaingiza pesa nyingi kuliko matumizi, ambako bado hatujafikia.
Kuhusu mauzo ya nje, wale ma trilionea wa Kenya wataleta mabilioni for korosho so reserve itaongezeka na mokopo tutalipa kwa pesa zetu
Hahahahaaaaaaa,mtachanganyikiwa bure!B.O.T ya ufipa hii.uchumi umekuwa.fedha ya akiba ipo ya kutosha na deni la taifa bado halijaongezeka tangu january 2019
rejea hotuba ya kasimu majaliwa last week akiaahirisha kikao cha bunge
Ndio maana watu tulimshangaa JPM kwa uamuzi wake wa kuzizuia taasisi ambazo miradi yake bado iko kwenye hatua za awali kuweka fedha kwenye fixed accounts bank binafsi!Badala yake akazilazimisha taasisi hizo kuweka fedha BOT ambako hata zinakaa tu kama viazi vilivyovundikwa,hata kuzaa havizai!Ikiwa mali za hazina hazitopanda na kushuka basi hizo zitakuwa mali mfu.