BoT bars Tanzanians from buying Safaricom shares

Kumbe maamuzi ya ki komunisti ya serikali kupanga kila kitu yalianza muda sana... Imagine hii opportunity iliwapotea watu sababu ya sera mbovu za BOT
 
..as if hizo pesa zetu ni za kwao,yaani madwanzi matupu yamejaa pale BOT,na hii mijitu ndio inatuongozea our highest financial body...kweli tumeliwa!
Wewe ndio zwazwa wala hujui. Unafikiri bot wapo pale kwa interest binafsi ya watu kama wewe au kwa interest ya tanzania?
 
Back
Top Bottom