mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,763
- 35,205
Hizo ni taratibu za kimataifa ambazo kila nchi inatakiwa ku comply. Na ukiona nchi inaweza kutumiwa pesa iliridhia hayo makubaliano. Kuna nchi ambazo huwezi tuma pesa kabisaaaBibie sasa anazuia na kufuatilia dollars viji5000 kuingia wakati Trillion 10 zimeyeyuka kwenye mazingira ya kutatanisha hadi CAG kutishiwa. Si aache tu hela ziingie. Ni mchoyo tu mbinafsi na roho mbaya