Boss vs Mr.uk fridge, ipi ninunue?

Naipuli

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
266
109
Habari za J3 waungwana,

Nahitaji kununua fridge kwa matumizi ya kifamilia nyumbani.

Nipo Kigoma mjini. Nimejaribu kufanya window shopping, lkn kwa maduka yote niliyopita nimekutana na Fridge za aina mbili tu, BOSS na Mr.UK.
Na bei zao hazitofautiani sana, difference ni kati ya 10k to 35k kutegemeana na duka.
Naomba ushauri wenu tafadhari, ninunue lipi kati ya BOSS au Mr.UK kwa kuzingatia durability, consumption ya umeme, performance etc.
....
Ahsante!
 
Yote sawa, kama vipi tafuta hisense bei zake ni sawa na hizo na ni durable na energy friendly
 
Tatizo huku niliko, sijaona aina nyingine zaidi ya hizi BOSS na Mr.UK
Basi usikose uhondo. Angalia tu watts zake kwa nyuma ya friji au pia mwenye compressor linganisha kwa yote mawili Boss na mr. Uk zenye size moja na uchukue yenye watts ndogo.
 
Kigoma mlishaunganishwa kwny Gridi ya Taifa au bado ni ule umeme wa kuzimwa saa 4 usiku?
 
Sijui kama kuna Gridi ya Taifa au Lah!
Ila kwa mazingira yangu huku ni wa Generator, ambao huzimwa na kuwashwa kwa masaa maalum.

Back
Top Bottom