Rapherl
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 3,504
- 2,254
Wanajamvi heshima kwenu...
Basi weekend hii nikiwa kwenye ufukwe mmoja hapa Jijini mida ya saa tatu za usiku nipo nazugazuga ufukweni ikaja gari yenye namba za DFP,ilikuja kwa mwendo mkali sana mpaka nikashtuka,mara akashuka jamaa mmoja mfupi kiasi na kitambi cha kiaina akashuka akacheki pande zote pako kimya watu wapo mbali kidogo.akafungua mlango wa Abira akatoka mwanamke kwa mbali sikuweza kutambua rika lake,alivyoshuka tu akainama kwenye siti yake aliyoshuka akapandisha sketi yake Loooh!! Wakaanza ku-DO jamaa kasimamia kweli si mchezo.
Kama ujuavyo Askari wa Bongo kumbe wamejificha sehemu wanasikilizia tu haikupita muda mrefu hawa hapa alafu wanakamera kabisa!ndo kuanza kupiga picha sasa wale wapenzi wawili jamaa nikaona pale pale kaishiwa na nguvu hata suruali anashindwa kupandisha anaangaika balaa.Polisi wa Kibongo tena wamekukuta laivu!!!
Basi ndo na mimi kusogea pale kusikiliza kinachoendelea.Jamaa anasema yule mama ni Boss wake na wametoka Arusha wamekuja kwenye kikao wamefikia Hotel ipo Sinza huko sasa hapo walikuwa wamezidiwa tu ndo maana wakaamua wamalizane hapo kwanza,kama ujuavyo POLISI hawataki ushahidi wakati wa kuchukua Mlungula basi nikasogezwa mbali kabisa baada ya kama dakika ishirini hivi nikaona BOSS na DEREVA hao wanaondoka polisi wamebaki wakaingia chimbo tena.
Sasa nikawa najiuliza hawa walishindwa kuvumilia kweli mpaka Hotelini au ndo stimu zikishapanda hakuna jinsi?
Naomba mawazo yenu kuhusu hili swala..