Boss mmoja aliingia kazini kwake kasahau kufunga zipu ya suruali yake

fired

Senior Member
Apr 4, 2021
151
310
Boss mmoja aliingia kazini kwake kasahau kufunga zipu ya suruali yake sasa secretary wake akamfuata na mazungumzo yakawa hivi:
SECRETARY: Boss leo umesahau kufunga geti nyumbani kwako…
Boss akabaki anashangaa… Baadae wakati anakwenda chooni kujisaidia ile anataka kufungua zipu akaikuta iko wazi ndio akajua alichokuwa ameambiwa na Secretary wake.
Akarudi mpaka kwa secretary na mazungumzo yakaendelea:
BOSS: Bibie ulivyoona geti wazi je uliona prado v8 langu lime paki ndani?
SECRETARY: Hapana Boss niliona kitoroli kidogo kimepaki kina matairi mawili yaliyoisha upepo!!!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Saizi sekretari anakabidhi mafaili nadhani anapelekwa Ulaya😃😃
😂😂😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom