Bosi wangu kanipa mkataba wa kazi ambao ni kinyume na makubaliano halisi ya kazi

Naombeni msaada wa kisheria.

Nimeajiriwa kampuni moja private. Baada ya kufanya kazi muda mrefu bila kupewa mkataba, sasa juzi nikaletewa mkataba lakini sikuuelewa kwa sababu upo tofauti na uhalisia.

Mfano: Kabla ya mkataba nilikuwa nalipwa laki nne cash yote bila makato yoyote. Ila baada ya mkataba unaonesha nalipwa laki 2 na nusu basic salary. Na hiyo 2.5 ndo makato yote ya serikarl yanakatwa hapo.

Nilipoongea na bosi akasema nisign hiyo ya kwenye mkataba then pesa nyingine laki 1.5 nitakuwa napewa pembeni.

Je, hii ni sahii au sio sahihi?
Bado nipo njiapanda nikubali kusign au nikatae kusign.
Kwa hiyo baada ya kuongea wenyewe umeona uje uniseme huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ujanja ujanja hapo!

Mwisho wa siku wewe na huyo muajiri wako mtatandikwa shitaka la uhujumu uchumi na kukwepa kodi halali za serikali.
 
Back
Top Bottom