Wacha nikucheke tyu ,ila ungeweka picha yako na ya boss ingependeza zaid.tupia picha zenu,tuwathaminishe kisha ushauri.hapo ingependeza zaidMimi ni dreva na bosi wangu ni mwanamke. Tatizo linalonipata ni pale bosi wangu anaponitaka kimapenzi ni mwezi sasa unapita namkatalia.
Je naweza kosa kazi?
Na kama nikimkubalia kazi ndo itakua nzuri kwangu?
Ushauri wenu wana JF
Mimi ni dreva na bosi wangu ni mwanamke. Tatizo linalonipata ni pale bosi wangu anaponitaka kimapenzi ni mwezi sasa unapita namkatalia.
Je naweza kosa kazi?
Na kama nikimkubalia kazi ndo itakua nzuri kwangu?
Ushauri wenu wana JF
Heeee why jamani?sizani kama inasimama...?!!!