Bosi wako anapokuambia kuwa hana uhakika wa kulipa mishahara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bosi wako anapokuambia kuwa hana uhakika wa kulipa mishahara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mperwa, Oct 30, 2009.

 1. m

  mperwa Member

  #1
  Oct 30, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Bosi wako anapokuambia kuwa hana uhakika wa kulipa mishahara kwa miezi iliyobaki kukamilisha mwaka, labda mpaka mwaka kesho, haiathiri utendaji wako wa kazi wa wafanyakazi?
   
 2. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2009
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280

  pole! kampuni gani iyo? Reli ya kati nini?
   
 3. kilema

  kilema Member

  #3
  Oct 30, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kama kitendawili basi Umepata mji na jibu umelitoa
   
 4. m

  mperwa Member

  #4
  Oct 30, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mlachake si Reli ya kati. Jibu swali nililouliza basi
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Sitafika kazini, so itaathiri utendaji sana!:D
   
 6. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Ni kuondoka haraka sana na kuusaka ujasiriamali.
   
 7. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,186
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  Morali ya kazi itashuka kwa asilimia kubwa sana na nitaanza kutafuta ustarabu mwingine somwhere else.
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mambo ya kampuni ya HITS haya!
   
Loading...