Bosi wa zamani wa IMF akutana na mwandishi aliyemshtaki kwa ubakaji

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,735
1,195
Straus-Khan amekutana uso kwa uso na mwanadada ambae ni raia wa ufaransa na mwandishi wa habari ambae amemfungulia mashtaka bwana Khan kwa kosa la kutaka kum'baka,dada huyo anadai kuwa miaka 8 iliyopita alipokwenda kufanya mahojiano na Khan ndio tukio hilo lilitokea,hata hivyo Khan amekana mashtaka hayo na amesema kuwa alimpiga busu tu,tena si kwa kutumia nguvu........
Sosi;bbc swahili
 

Bright Smart

JF-Expert Member
May 4, 2011
645
311
duh!! kama alitaka kubaka kweli basi huyu mzee damu yake inachemka zaidi ya sana atakua ana nguvu ya simba isiyo ogopa risasi..
 

Shomari

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,113
239
kwa yule dada mweusi naona kesi ilipindishwa, sasa kwa huyu mzungu mwenzake utaona jinsi haki inavyofuata mkondo!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom