Bosi wa Samsung asamehewa kifungo ili kunusuru uchumi

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,370
8,107
Wizara ya Sheria imesema Bosi wa kampuni ya Samsung, Lee Jae-yong atafutiwa kifungo ili kusaidia nchi hiyo kuondokana na mzozo wa Uchumi. Lee alihukumiwa kwenda jela miezi 30 baada ya kukutwa na hatia ya Ubadhirifu na Rushwa mwaka 2021.

Kabla ya kuachiwa, Lee ametumikia kifungo kwa miezi 18 jela ambayo ni robo tatu ya kifungo chote.

Taarifa ya Serikali imesema "Tumechukua uamuzi huu, kutokana na msukosuko wa uchumi duniani, nguvu na uhai wa uchumi wa taifa umezorota, na mdororo wa uchumi unahofiwa kuwa wa muda mrefu,".

Lee, Makamu Mwenyekiti wa Samsung Electronics, ameapa kufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya kunusuru Uchumi wa Taifa lake.

===========

The heir and de facto leader of the Samsung group received a presidential pardon Friday, continuing South Korea's long tradition of freeing business leaders convicted of corruption on economic grounds.

Billionaire Lee Jae-yong, convicted of bribery and embezzlement in January last year, will be "reinstated" to give him a chance to "contribute to overcoming the economic crisis" of the country, justice minister Han Dong-hoon said.

Lee — who has a net worth of $7.9 billion, according to Forbes — was released on parole in August 2021, after serving 18 months in jail, just over half of his original sentence.

Friday's pardon will allow him to fully return to work by lifting a post-prison employment restriction that had been set for five years.

"Due to the global economic crisis, the dynamism and vitality of the national economy have deteriorated, and the economic slump is feared to be prolonged," the Justice Ministry said in a statement.

The pardon was given so that Lee — as well as other high-level executives receiving pardons Friday — could "lead the country's continuous growth engine through active investment in technology and job creation", it added.

Three other high-profile businessmen were also pardoned, including Lotte Group chairman Shin Dong-bin, who was sentenced to a suspended two-and-half-year prison term in a bribery case in 2018.

FRANCE24
 
Kweli fedha ni kila kitu. Hata serikali inakuheshimu japo ni mhalifu. Hapo kina sisi na kesi ya kuiba kuku 🐔 lazima ufie jela maana hatuna mchango kwa gavamenti zaidi ya kuongeza watoto mtaani.
 
Lee, Makamu Mwenyekiti wa Samsung Electronics, ameapa kufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya kunusuru Uchumi wa Taifa lake.
Na rushwa aliyokula ilikuwa ya taifa gani au kutoka kwa raia wa nchi gani
 
Back
Top Bottom