Bosi Ruge una akili sana, nakushauri ujiepushe na mabifu usije kuuawa tukaikosa akili yako

Habari wadau binafsi namkubali sana ruge hasa akili yake kibiashara ana mchango mkubwa sana kwenye sanaa yetu, maana yeye ndie kafanya hata kina jay z, 5o cent, ja rule wameijua Tanzania iko wapi.

kwa miaka mingi sana analalamikiwa na wasanii tofauti kuanzia kina sugu, Ladyjaydee, Ruby, Diamond, Vinega, Prof jay kwamba hatendi haki

Brother Ruge kama unasoma humu najua wewe ni msomi tena wa vyuo vya ukweli majuu na una exposure kubwa na mziki una passion nao maana bosi wa levo zako kushinda THT unaandikia watoto nyimbo ni zaidi ya passion.

Nakushauri tu achana na watoto wadogo usiwajibu chochote, na hata mambo ya nani nyimbo ipigwe nani isipigwe achana nayo hayo mambo piga kazi zako tu kawaida.

Maana sasa hivi imefika kipindi hata msaniii akiimba vibaya jukwaani kisa amelewa unaaambiwa tatizo Ruge alimzimia maiki mambo ya kina Ali Kiba, Ruby, Diamond achana nayo simamisha THT iwe brand kubwa

Si umeona hata zamaradi alikurekodi na kuvujisha hiyo ndio shida ya watoto wadogo kudili nao sana mambo ya zamaradi na mume wake shilawadu yanafata nini Semina zako za fursa ziongeze maujazo watanzania wakombolewe maana mwisho wa chuki unakuwaga si mzuri.

Sitaki kusikia bosi ruge umemwagiwa tindi kali kama bosi wa home shopping au umepigwa risasi na sababu una bifu na wengi hata polisi watapata shida kujua nani anahusika maana tutawaza labda sugu, wengine labda lady jaydee, wengine labda diamond, wengine labda vinega, wengine labda zamaradi na mume wake, wengine labda baby mamas wake

Bosi Ruge mtu poa sana kama unabisha omba nafasi uonane nae upige nae hata story atakushauri mambo mengi sana huyu ni hazina kwa taifa sema tu anadili na vitoto vinamharibia kwa jamiii
We kaka peke yako ndo unaemjua Ruge wengine wanaafiki uliweza kusema kipindo yuko hai!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha..nimeipenda hii..kwamba Professor J ni Professor wako???
Kwani baby madaha Ni baby wako?
kwani dr cheni ni dr wako?
Kwani fulani ni fulani wako?
Hahaha kwani mkubwa fella ni mkubwa wako??
Kwani babu tale ni babu yako
kwani Dazz baba ni babaako
Kwani da mange ni dada yako
Kwan bibi Cheka ni bibi yako??
Kwani anti Ezekiel ni anti yako?
Kwani mheshimiwa temba ni mheshimiwa wako?
Kwani mzee yusuph ni mzee wako?
Kwani Kaka Kuona ni Kaka yako!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mwalimu Kashasha ni mwalimu wako!?

Sent using Jamii Forums mobile app
kwani baba levo ni baba yako
kwani bi kidude ni bibi yako
wahuni sio watu aiseeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom