Bosi mpya wa British Commonwealth au Jumuiya ya Madola ni huyu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Huyu Mwana mfalme Charles imeamriiwa kwamba ndiye awe mrithi wa mamake Malkia Elizabeti ambaye kwa sasa ndiye Mkuu wa Jumuiya hiyo ya Kikoloni inayobeba nchi 53 ikiwemo TZ yetu, ...

charles.jpg
 
Huyu Mwana mfalme Charles imeamriiwa kwamba ndiye awe mrithi wa mamake Malkia Elizabeti ambaye kwa sasa ndiye Mkuu wa Jumuiya hiyo ya Kikoloni inayobeba nchi 53 ikiwemo TZ yetu, ...

charles.jpg

Majitu ya ccm kama barabosa majinga sana...linaleta uzi humu proudly kusifia colonial master wake....pumbavu kabisa...

CW ni ukoloni mjinga wewe
 
kwa nn USA sio member wa hii jumuiya?

Kwa sababu USA siyo koloni, USA alichukuwa Uhuru kwa nguvu na hakupewa Uhuru kama sisi na wengineo hiyo ndiyo tofauti, USA siyo part of British empire!
 
Back
Top Bottom