Bosi mpya vodacom

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
Vodacom wamepata bosi mpya ambaye anaelekea hataki mchezo na anaonekana he is smart sio kama yule kilaza aliyepita
 
huyo amezoea mchezo kwenye kazi ndio wanaotufanya tuonekane hatufanyi wa TZ na viongozin wetu wanatuponda hadharani, teeeeh teeeeeh weka sura yake baaasssii
 
Huyu ametumwa. Bosi wa Voda ananihusu nini mimi Mtanzania wakat kodi hawataki kulipa?. Waanze kulipa kodi kwanza.
 
Bosi mpya huh?? Kwani yule wakwanza amefukuzwa? Au kastaafu, ni mzungu au afro,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom