Jambo Tz
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 670
- 202
Mpaka kufikia kuandika mtiririko huu ni huyu bosi wetu na hata wako pia, Mdomo unanuka sijui kala nini mmmmh! Shhhhh
ni mtu mzima wa heshima lakini hajijali kuhusu kinywa chake
Ni vyema kwa wale woooooote mnaokuwa katika magurupu kuhakikisha kabla ya kuachia tabasam kinywa chako ni kisafi itapendeza
hata wewe unaye soma hakikisha kabla hujacheka kilicho andikwa hakisha umeswaki