Bongemzito
Senior Member
- Nov 5, 2010
- 162
- 19
Mimi ni mfanyakazi katika kampuni flani hapa dsm,kuna msichana mmoja alifanya field kwenye kampuni ninapofanyia kazi na ivi sasa anaenda kumalizia chuo mwaka wa tatu na ana miaka 23 nilitokea kumpenda sana nanilitamani siku moja aweze kuwa mpenzi wangu na hatimaye mke,lakini mishemishe zangu ziligonga mwamba kwa kuwa aliniambia kuwa tayari alikuwa na mpenzi wake na wanapendana sana.
Kama mwanaume vibuti ni kawaida yetu nilijipa moyo konde nikasahau yoe nikaendelea na kazi kama kawaida na iyo ilikuwa ni Ijumaa kila mtu akasepa zake,ofcoz kila mtu ofisini kila mtu anamtamani na yupo serious mbaya,tukawa maswaiba kwa sababu ofisi yao na yetu inawasiliana kwa ukaribu mno..
Wiki inayofuatia nakumbuka ilikuwa jumatano mchana akanicall,nilishtuka kidogo nikajua labda amebadili uamuzi kwani aliniuliza vipi sasa ivi una kazi nyingi hapo ofisini nikamjibu sina kazi nyingi kwani ulikuwa unasemaje? akaniambia unaweza kuja tukutane(alinitajia sehemu ya kukutana).Nikamwambia kwa kuwa mda wa lunch unakaribia nitakuja huko moja kwa moja usijali..
Hatimaye muda muafaka ukafika nikawasili eneo la tukio,nikamkuta ni mwenye huzuni mno,nikashtuka kidogo,akaniambia mwenzio yamenikuta mimi najutia umaskini wangu...akaniambia ninavyoongea na wewe sasa ivi nimetoka ANGAZA,katika pitapita zangu nikasema ngoja nipite angaza nipime kwani nilijiamini kuwa niko safi kwa kuwa katika kumbukumbu zangu sikuwahi kufanya mapenzi bila kondom...
Akapima kwa imani kuwa hana ukimwi na alipoambiwa kuwa anao alihamaki na kumuomba docta arudie kupima tena mda huo huo akakutwa anao,basi akaondoka mnyonge..
Nikamuuliza! Umeongea na mpenzi wako na kumueleza inshu yote? akaniambia wewe ndo wa kwanza nakupa hii taarifa hata Baba naMama sijawaeleza hata huyo mpenzi wangu naye sijamueleza....kwani nina imani kuwa hawezi kuwa nao kwa kuwa toka tuanza uhusiano yapata miezi sita sasa hatujawahi kusex bila condom..
Ila alinieleza kuwa kuna bosi mmoja pale ofisini ndo anahisi alimuambukiza kwani mwaka jana alipoanza field yule bosi alimtongoza ila alimkatalia (ingawa alikuwa hana mpenzi kwa wakati huo na hakuanza uhusiano na huyu mpenzi wake wa sas) ,kama mnavyowajua mabosi wanavyojua kuwateka wanawake bosi akamuahidi mambo kibao ikiwa ni pamoja uhakika wa ajira pindi atakapomaliza chuo na pia kumlipia ada iliyobaki chuoni na kumpatia pesa za shooping atakapo,siku moja akatoka na bosi( huyo bosi anamiliki pia bar na gesti) wakaenda hapo wakanywa ila yeye alikunywa soda) siku iyo wakafanya mambo kama ila walitumia zana kama kawaida yake,wakafanya kama mara mbili siku moja alikunywa kwa iyo hakujielewa bosi akamsex bila kondom na ndo anahisi siku iyo ndo inaweza kuwa ndo chanza cha yote hayo...
Basi nikamtuliza nikamsihi asihuzunike sana ndo hali ya maisha...akaniomba niwe nampa moyo maana anajiona hana umuhimu wa kuishi tena na kujilaumu yeye kwa yote aliyafanya na pia haoni hata umuhimu wa yeye kuendelea na masomo tena kwani yeye ni mtu wa kufa tu..
Akamueleza mpenzi wake,mpenzi wake alishtuka mno na aalilia sana na kumlaumu kwa niniumeniua lakini(mpenzi wake amemaliza CBE mwaka huu),kesho yake akaenda kupima akakuta ni negative,akamtumia sms na kumwambia niko negative na akazidi kumwambia kuwa kama ningekuwa ninao ningekulaumu hadi ninakufa na ningeweza kukufanya kitu mbaya.
Sasa nikajiuliza ni uungwana gani afanyiwe huyu bwana na mpenzi wake maana huyu msichana ni muwazi mno kwa maana akamueleza kabla na pia kafanya la maana sana kupima kwani kama asingeenda kupima ingefika siku wangesex bila kondom...kwani alikuwa na kawaida ya kwenda kwake anakaa hata wiki nzima na huyo menzi wake na kwa kipindi chote hicho wanatumia kondom........
Naombeni umnisaidie kunipa ushauri wanajamii maana huyu dada huwa inafikia ananipigia hata simu saa nane usiku na kuniambia hapati usingizi maana mawazo yamemzia sana hasa akifikiria mipango mingi waliyoipanga na huyu mpenzi wake,pia ukizingatia wazazi wote wa pande mbili wanafahamiana nayeye wazazi hajawaambia,na akimpigia simu menzi wake hapokei na wakati mwengine huwa anamwmbia yupo bize sometimes anamkatia simu
na hata akiwapigia wadogo zake nao hawapokei simu...ivi sasa mama ake kamuuliza mwanangu mbona upo ivyo siku izi kulikoni......ki ufupi amekuwa ni mtu wa masikitiko sana siku izi..inafikia kwa siku anaweza kuinitumia hata sms 100 akiniomba ushauri na nimfariji kwani anaamini mi ndo mtu pekee ninayemfariji kwani mpenzi wake anamnyanyapaa siku izi......akaniuliza je amwambie bosi kuwa amepima na ana ukimwi anaogopa kuwa bosi atareact vipi.....maana bosi kamnunulia hadi flat screen home anatamani hata kuivunja.....yote hayo anaamini ni kwa kuwa baba yake na mama yake waliachana mwaka jana wakati baba yake alikuwa akimpatia pesa kila napohitaji kwa iyo baba yake alimdekeza sana na hakuwai kuhongwa pesa na mwanaume yeyote kwani aliamini alizopewa na baba yake zilimtosha sana punde tu wazazi walipoachana baba akata huduma.......nimeshauri sana asipende kukaa peke yake mda mwingi na hata usiku asiwe peke yake chumbani kwan atawaza sana na pia awe anafanya mazoezi kidogo....ananichukulia mimi ndo kila kitu maana ananieleza kila kitu...................naombeni mnisaidie kumshauri huyu dada jamani..